Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Ugumu wa maisha unawalazimisha mabint kutembea na baba zao

Hii mara nyingi husababishwa na ujinga wa asili kwamba mwanamke kazi yake kukaa tu kama maua.
Hauna tofaut na wahanga wanaojilipua mabomu


Sent using Jamii Forums mobile app
Pole....ata kama maisha marahisi ni jambo la kawaida kuwa na mtu wa kurelax nae

Mm nimechagua kurelax na mzee maamuzi yangi yaheshimiwe plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadada mnaotaka kujua wakaka wenye pesa na wasio nacho huu uzi kaeni hapa hapaaa..watu wanatokwa na majasho huku😂😂wengine wamegeuka wahubiri na wainjilist kbs😂😂😂nacheka tu mm..umaskini kwakweli ht mm nauchukia sana thts y unaona kbs watu wanastress wanatukana tu hovyo hovyo...jaman tafutenu tu pesa..ndo dawa.iliyobaki..si me wala ke!
 
Back
Top Bottom