Wakuu,
Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.
Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.
Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.
Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?
Message delivered