Watu wawili wachomwa moto Tabata

Watu wawili wachomwa moto Tabata

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
attachment.php


Habari za asubuhi wanajamvi,

Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu. Asubuhi ya leo kuna wezi wawili wamechomwa moto Tabata mitaa ya liwiti.

Inasemekana majambazi hao walikuwa kwenye pikipiki wakamkwapua mdada pochi ndipo watu walipowafukuzia na kuwakamata na hatimae kuchomwa moto.

Sijafanikiwa kuchukua picha ila kama kuna mwenye nazo au habari zaidi atuwekee.
 

Attachments

  • Screenshot_2014-08-23-13-18-29_1.jpg
    Screenshot_2014-08-23-13-18-29_1.jpg
    38.5 KB · Views: 7,967
hbr za asbh wana jamvi.km kilivyo kichwa cha hbr hapo juu.asbh ya Leo kuna wezi wawili wamechomwa moto Tabata mitaa ya liwiti.inasemekana majambazi hao walikuwa kwenye pikipiki wakamkwapua mdada pochi.ndipo watu walipowafukuzia na kuwakamata na hatimae kuchomwa moto.cjafanikiwa kuchukua picha ila Kama kuna mwenye Nazo au habari zaid atuwekee.



Duuuuh ninazo mkuuu....very sad n vibaka ty tena n watoto wadogo bt nashindwa kuzi attach
 
so sad vidagaa vinachomwa moto Mapapa wanaachwa
 
Hiyo ni michezo ya watoto wa Magomeni na Kinondoni... Du! Mbna watakufa xana...
 
What if hawakuwa wezi!? Kulikuwa na ushahidi!? Labda ni mazingira tu yamewakuta vibaya.Haya maswala ni magumu
hapana mkuu walikuwa wawili na pikipiki.yule wa nyuma akakwapua then wakaanza kukimbiza pikipiki ndipo watu walipoanza kuwafukuzia.baada ya wanyuma kuona watashikwa akashuka ili akimbie kwa mguu ndo aliposhikwa.wkt huo yule dreva akaanza kuwapitisha watu chochoroni ili awapotee.bht mbaya nae wakamkamata wakamchukua na kumleta mpk liwiti alipokuwa kashkiliwa mwenzie ndo wakachomwa pamoja
 
Sasa nenda pale kwa kova uulize wana mikakati gani kuhusu huu ujamabazi wa kutumia silaha na pikipiki,UTACHOKA....ila kuhusu ukawa na cdm ipo mingi sana

Tuna vipaumbele vya ajabu sana
 
Duhh,hii ndio dawa yao.
Maana siku hizi huu mchezo umeshamiri sana.Maana juzi Ilala kunda mdada alikwapuliwa simu hivyo hivyo.Lakini walikimbia maana njia iliwa ni kubwa na watu hawakuwa wengi.
Hawa wakichomwa basi wenzao wanapata taarifa wanapunguza makali kwanza.
Mwenye kutete wizi basi ujue either baba yake au mama yake anaasili ya wizi.
Ni Sawa na mzinifu,akitetea Malaya basi ujue Baba yake au Mama yake ni Malaya
 
Duhh,hii ndio dawa yao.
Maana siku hizi huu mchezo umeshamiri sana.Maana juzi Ilala kunda mdada alikwapuliwa simu hivyo hivyo.Lakini walikimbia maana njia iliwa ni kubwa na watu hawakuwa wengi.
Hawa wakichomwa basi wenzao wanapata taarifa wanapunguza makali kwanza.
Mwenye kutete wizi basi ujue either baba yake au mama yake anaasili ya wizi.
Ni Sawa na mzinifu,akitetea Malaya basi ujue Baba yake au Mama yake ni Malaya
ha ha ha ha"umetisha mkuu.na ndo dawa yao mana wakienda polisi wanatoka ndani ya lisaa.wkt huo wanarudisha watu nyuma kimaisha.tatizo watu wanaotetea wezi hayajawahi kuwakuta.endapo km wangekutana nayo kwenye 18 bc MTU asingetetea jambazi.mbona wao kila kukicha wanashoot wenzao iweje wao waonewe imani.
 
Back
Top Bottom