Watu wawili wachomwa moto Tabata

Watu wawili wachomwa moto Tabata

Ajabu kweli watu mnashabikia tukio hili? Ni hukumu gani mtu akiiba achomwe moto? Mbona tunachukua majumu mazito?
 
Wizi/ujambazi sio mzuri kabisa. Majuzi huku kwetu jet mwisho wa lami hatukulala, tangu saa nane usiku ni risasi zinapigwa tuu na jamaa walikuwa na pikipiki. Walikuwa wanazunguka utafikiri nyumba kwa nyumba na wanatupa risasi mpaka saa kumi hatukuona polisi wala nani kutusaidia. Mungu mkubwa hawakuuwa mtu
 
dah safi sana,rafiki yang aliwahi kukwapuliwa cm kwa mtindo huo wa pkpk tukiwa songea
 
Kuchomwa moto ndio dawa pekee iliyobakia
 
kiukwel wezi wanarudisha maendeleo nyuma,lkn adhabu waliochukua wananchi n kubwa kuliko.
 
Ajabu kweli watu mnashabikia tukio hili? Ni hukumu gani mtu akiiba achomwe moto? Mbona tunachukua majumu mazito?

Hao hao wakiachwa kesho wanakomaa na kuibuka na mbinu mpya, baba wa watu wamemtoa roho mlimani city pale, yanauma ngoja yakukute tu ndio utajua jinsi gani yanavyouma. Ni haki yao kufa kwa kuwa wamepitiliza kwenye ubinadamu hawapo tena.
 
Back
Top Bottom