Watu wasiojulikana:nyimbo mpya ya msaga sumu

singeli ni mziki mzuri,am proud kuusikia popote,atleast kuna baadhi ya watanzania wenzangu wametengeneza identity ya muziki wao ambao haupo sehemu nyingine popote duniani..
 
jamaa amefunguka vizuri sana,yaani ameonyesha madhara ya kijamii,kiuchumi yanayoweza kusababishwa na watu wasio julikana
 
Back
Top Bottom