Watu wanaoudhi wengine

Watu wanaoudhi wengine

...,"Mtu mkianza anakuvua,mkimaliza uvae mwenyewe"...
 
Unaombwa hela ya vocha unatoa hutumiwi hata sms ya asante mpaka upige wewe tena kuuliza kama amepata.
Hii huwa inaniudhi sana. Unamtumia mtu tigo pesa baada ya kukuoooomba kwa msg ndeeefu ya shida aliyonayo. Ukimpa mara hana hela ya msg moja kusema kapata asante. Mi huwa nampigia namchamba pale pale tabia mbaya huwezi hata kuandika msg kusema asante...?!
 
Unampa mtu lifti unampeleka vichochoroni huko ukimfikiria ni usiku acha umfikishe. Unamfikisha anashuka anapigiza mlango anaaingia ndani kwake anafunga mlango anakuacha unachekecha gari mara saba pale ndo utoke
 
Na mie naomba lift
 
Anamtaka mkaka, lakini hana time nae. Ukifwatwa na ndoa mkafunga, shosti anaanza kuwa CIA na kukutoa kasoro! Hii huwa siielewi kwa wanawake.
In short unakua her worst enemy for no good reason na alikua hakufaham kabisa.
 
&mtu anakuambia mkutane kumbe kashaorder chumba a&
 
Number moja ni soo, hahahaha. Huyo simpi lift tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom