Watu wanaoudhi wengine

Watu wanaoudhi wengine

Una miadi ya kukutana na mtu saa tisa, ikifika saa tisa haonekani af ukimpigia simu anakwambia 'samahani mambo yameingiliana tufanye kesho' sasa kwa nn usiseme mapema hadi upigiwa simu?
 
Wapo wale anakuahidi kukupa kitu wakati anajua wazi kabisa uwezekano haupo. Ukianza kumfuatilia anakuzungusha weee hadi ukate tamaa
 
Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe.
 
vocha unamnunulia lakini hakupigii ni kukubeep tu
 
Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe.

Hahaha! leo na kuna mtu nimemkaribisha jioni ngoja nimwambie mapema ni yeye ndo aje sio na mashosti
 
mtu anakulilia hali huyo unamuoneaje huruma??? asa ukimsaidia ndio adha inapouja mmhhh ptuuuuu sitaki kukumbuka afu mimi nikiwa namdai mtu akae akijua sisahau deni ohooooo
 
Mtu unamgegeda vizuri lakini hatoi shukrani.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom