Watu wanaoudhi wengine

Watu wanaoudhi wengine

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
1. Anaomba lifti, ukipata pancha anashuka kupanda daladala eti ana haraka.
2. Mtu umemsaidia mpaka akajitegemea, akapata kazi nzuri kuliko wewe, anaanza kusema mmh yani yule hana maendeleo kabisa.
3. Mtu akiona mko vizuri kwenye ndoa ooh, kamtawala.......
4. Mtu anakukopa hela, ukianza kumdai anasema eti alisahau unamdai.
5. Ukifanya vizuri, eti ana bahati, ukichemka nilijua tu!
6. Kwenye mahusiano, lazima uanze wewe, simu uanze wewe, sms wewe, usipofanya umemchunia.
7.
8.
9.

Je?
 
kazi ufanye wewe matumizi ya pesa yeye eti naomba.... nani anataka machangu
 
Kosea otongoze, shida zake anazihamisha kwako
 
  • Thanks
Reactions: keh
mi gari yangu nimebandika masharti mlangoni. Ukiomba lifti nakuambia soma kwanza masharti kama utayaweza. Vitu kama hivi
Anaomba lifti, ukipata pancha
anashuka kupanda daladala eti ana
haraka.
havinisumbui kabisa
 
Unaombwa hela ya vocha unatoa hutumiwi hata sms ya asante mpaka upige wewe tena kuuliza kama amepata.
 
raha 2napata wote. 2kimaliza ananikwida shati eti anataka hela yake.
 
Sehemu ya kujisaidia haja kubwa na ndogo ipo lakini mtu anaenda jisaidia haja ndogo kwa shower
 
Rafiki wanafiki....ukipatwa na jambo wanakugeuka ...wanaanza kujifanya watabiri
 
Unamwomba mtu msaada,anakusaidia then ukifanikiwa anaanza ooh kama si mimi......
 
Dume zima linakuambia ninunulie vocha ili tuongee vizuri baadae, halafu sio kwamba pesa hana! pesa anayo ila ubahili
 
Namba 4 inahusu sana, me kuna jamaa namdai yaani akiniambia niende siku flani ananiambia niende let's say kesho yake, nikijisahau kwenda nkaenda kesho yake anakwambia or mbona jana hukuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom