Watu wanaofilisika punde tu baada ya kuoana, tatizo huwa ni nini?

Wengine wanachukua mkopo kwa ajili ya ndoa, akimaliza ndoa inakuja jukum LA kulipa hapo ndo wanaisoma namba.

Wakati kule kwa binti hajamuekeza km alikopa sbb ya harusi
Ooh! Absolutely! Hii naweza kukubali yaweza ikawa sababu
 
Hata mimi nilipitia na kusikia story zinazosema itachukua miaka takribani mitano mambo kuja kunyooka.

Kiufupi niligundua kuishi na mwenza mpaka mje kua na maamuzi ya aina moja au kuridhiana inachukua muda kidogo sababu kila mmoja alilelewa na kukulia katika makuzi tofauti.

Ndio maana wengi wanasema mkiweza kupita miaka mitano au kumi ya mwanzo na basi kuna uwezekano mkubwa sana wa kufika mbali au vile vile kushindwana miaka hiyo hiyo.
 
Kaka! Ebu tueleze chanzo huwa ni nini? Ebu tafta kwenye nondo zako navyokufaham hutakosa majibu
Kuna post yake imenitoka heading
Mnakutana wawili kila mmoja ana background tofauti energy tofauti...mnapokuja kukutana rasmi zile energies zinacolide ili kutengeneza energy moja (kumbuka dhana ya kuwa mwili mmoja na dhana ya watu kufanana wakiishi pamoja kwa muda mrefu)
Hiki ni kipindi cha soul reconstruction yani ni kama kukata miti kuvunja miamba ili utengeneze barabara nzuri, hiki ndio kipindi cha mpito
Kipindi hiki huchukua hata miaka 3 na Kuna baadhi soul reconstruction haianzi moja kwa moja bali mpaka baada ya mtoto wa Kwanza ...! Ni mchakato usio na formula maalum
NB: epuka kwenda kutafuta ufumbuzi kwa waganga wa kienyeji na wachawi, hawatakosa cha kukuambia lakini pia watazidi kuharibu mambo
 
kwa walio wengi tatizo linakuwa wana underestimate gharama za harusi. mfano mtu anakadiria kadirio la juu 2,000,000/=.

Isipokuwa kinachotokea, gharama zinaongezeka tofauti na alivyotegemea hadi akiba inaisha.

Hata ivyo siku za kwanza atataka ajioneshe yeye ni kidume kwa iyo matumizi yanakuwa makali.

Matokeo yake mfumo mzima wa uchumi unakuwa sio imara
 
Very true
Wazee wa zamani waliwahi kusema kwamba ukitaka kujua mke anakufaa basi unatembea naye halafu unatoka bila kuoga
ukifika kazini ukarudi salama na umepata ridhiki basi anakufaa
sijui kizazi cha sasa tatizo liko wapi,
lakini haya yanatokea sana na hata mimi nimeyashuhudia kwa ndugu na marafiki
 
EBO! Huogopi janaba
 
Kuna post yake imenitoka heading
Mnakutana wawili kila mmoja ana background tofauti energy tofauti...mnapokuja kukutana rasmi zile energies zinacolide ili kutengeneza energy moja (kumbuka dhana ya kuwa mwili mmoja na dhana ya watu kufanana wakiishi pamoja kwa muda mrefu)
Hiki ni kipindi cha soul reconstruction yani ni kama kukata miti kuvunja miamba ili utengeneze barabara nzuri, hiki ndio kipindi cha mpito
Kipindi hiki huchukua hata miaka 3 na Kuna baadhi soul reconstruction haianzi moja kwa moja bali mpaka baada ya mtoto wa Kwanza ...! Ni mchakato usio na formula maalum
NB: epuka kwenda kutafuta ufumbuzi kwa waganga wa kienyeji na wachawi, hawatakosa cha kukuambia lakini pia watazidi kuharibu mambo
Kweli.... asee.
Mganga hakosagi neno..
 
Kuna watu wengine wana gundu, mikosi hata mkiwa kwenye mahusiano tu mambo yanaenda mrama kwa sababu tendo la kufanya ngono linahusisha kuunganisha mwili na nafsi kuwa kitu kimoja, kuna laana za kiasili zinazomuandama mtu bila yeye kujua mwingne ukimfukuza mkeo tu unarudi kwenye chart japo wengne wana bahati zao
 
Kuna post yake imenitoka heading
Mnakutana wawili kila mmoja ana background tofauti energy tofauti...mnapokuja kukutana rasmi zile energies zinacolide ili kutengeneza energy moja (kumbuka dhana ya kuwa mwili mmoja na dhana ya watu kufanana wakiishi pamoja kwa muda mrefu)
Hiki ni kipindi cha soul reconstruction yani ni kama kukata miti kuvunja miamba ili utengeneze barabara nzuri, hiki ndio kipindi cha mpito
Kipindi hiki huchukua hata miaka 3 na Kuna baadhi soul reconstruction haianzi moja kwa moja bali mpaka baada ya mtoto wa Kwanza ...! Ni mchakato usio na formula maalum
NB: epuka kwenda kutafuta ufumbuzi kwa waganga wa kienyeji na wachawi, hawatakosa cha kukuambia lakini pia watazidi kuharibu mambo
Huwa nakuelewa na kukukubali sana bro
 
Back
Top Bottom