FikraPevu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2010
- 303
- 236
Utafiti uliotolewa hivi karibuni umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaoamka mapema wakati wa usubuhi.
Watafiti walibaini kuwa watu ambao walikuwa wanachelewa kulala walikuwa na hatari kwa asilimia 10 kufa mapema katika kipindi cha utafiti kuliko wale ambao wanalala mapema na kuamka mapema.
Watafiti wengine kutoka Chuo Kikuu cha Surrey nchini Uingereza na wale wa Chuo Kikuu cha Northwestern kilichopo Chicago, Marekani walibaini kuwa watu wanaochelewa kulala au wanaokesha kama bundi (night owls) wana uwezekano mkubwa wa kupata matatizo ya kisukari, akili na mfumo wa upumuaji.
Zaidi, soma => UTAFITI: Watu wanaochelewa kulala wako katika hatari ya kufa mapema