Watu wanajua kuhonga nyie

Tafuta hela yako na wewe utumie unavyotaka.

Cha mtu mavi.

Usijipe umuhimu sana kwenye maisha ya watu baki na maamuzi yao.
 
Mkuu. Yani uzuri na akili ni maadui wakubwa. Simba na yanga haviΓ³ni ndani.
Hauko sahihi, Uzuri uko popote pale, ila ungesema Urembo, tofautisha uzuri na urembo.
Vipi hujambo lakini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
asante wiii sema kaka ako ndo hanitaki najaribu kufosi πŸ˜†πŸ˜†,, nisaidie tafwazali
Huyo ndo alivyo hapendi watu wajue km naye kakupenda alishasema yeye kataa ndoa anaogopa watamcheka..!!

Mwaya wifi karibu mume unae na unatamba naye…!! 😹😹😹
 
Kwender huko, muda wa kuacha kupiga nyeto chombo hicho kimefika, kazi kwako..!! 😹😹
kumbe yupo kweny hiki chama ndo maan anatuona wanawake wote kama dada zake eeeh πŸ˜†πŸ˜† ngoja nimuendee taratibu hope atanielewa siku moja wii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…