win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,210
- 34,817
asanteeee wizooo unazidi kunitia nguvu jaman asante kwa kuja 🙏😂😂😂Huyo ndo alivyo hapendi watu wajue km naye kakupenda alishasema yeye kataa ndoa anaogopa watamcheka..!!
Mwaya wifi karibu mume unae na unatamba naye…!! 😹😹😹