Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Nawe hongera kwa kubadili maua,
Excel hongera kwa kubadili avatar,
Rocky, utafiti na Mndengereko hongereni kwa quote names na hekima zenu.
Tyta hongera kwa mapicha yalioenda shule
mshana jr kwa post nyiingi
lara 1 kwa utabe wako wa post, You got a brain dude
Karucee, sina Mengi sweetheart.. You are adorable!! snowhite best yangu, pongezi zako nimeziweka moyoni
#TeamRafiki keep up the spirit
#TeamBazazi siwapi hongera kwa ubazazi wala nini, ila tu kwa kujaza PM za ndugu zetu hawa... CC Mentor (PM moderator), Kaizer, mwekundu and Co.
Pia hongera MMU woote.

asante mkuu nawewe pia hongera kwa kufungua uzi
Last edited by a moderator: