Watu wanajituma sana jamvini

Watu wanajituma sana jamvini

Excel, eti unamjua Gracealiyejaaliwa.....? nipe habari zake ....

wamtaka grace aliyejaaliwa?.. utaweza bambataa ile kabanga?..

ok, iko hivi,

grace aliyejaaliwa, ni mdada fulani hivi mrembo sana, bado yuko kwenye boom period,

ana bambataa la kutosha sana ndo maana akipita, wadau wanazimia na kuona kizunguzungu!

kama wamtaka, niambie nimwambie....
 
Last edited by a moderator:
wamtaka grace aliyejaaliwa?.. utaweza bambataa ile kabanga?..

ok, iko hivi,

grace aliyejaaliwa, ni mdada fulani hivi mrembo sana, bado yuko kwenye boom period,

ana bambataa la kutosha sana ndo maana akipita, wadau wanazimia na kuona kizunguzungu!

kama wamtaka, niambie nimwambie....

Excel wee mbhayaaa...!!!
 
Last edited by a moderator:
Excel wee mbhayaaa...!!!
sio sana mkuu, niko field kwa sasa, sijapata degree kamili ya kuwafanya uchunguzi warembo wazuri wazuri wenye mauno ya haja.. ngoja nikigraduate ndio nitaleta research halisi....
 
Nawe hongera kwa kubadili maua,
Excel hongera kwa kubadili avatar,
Rocky, utafiti na Mndengereko hongereni kwa quote names na hekima zenu.
Tyta hongera kwa mapicha yalioenda shule
mshana jr kwa post nyiingi
lara 1 kwa utabe wako wa post, You got a brain dude
Karucee, sina Mengi sweetheart.. You are adorable!! snowhite best yangu, pongezi zako nimeziweka moyoni
#TeamRafiki keep up the spirit
#TeamBazazi siwapi hongera kwa ubazazi wala nini, ila tu kwa kujaza PM za ndugu zetu hawa... CC Mentor (PM moderator), Kaizer, mwekundu and Co.

Pia hongera MMU woote.

aisee Tized hii italeta matatizo makubwa sana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom