Watu waliosoma Urusi kwanini wakirudi nchini wanakuwa na kasoro fulani?

Refer to the late Dr.Shika🙏
 
Nimepiga kitabu Russia tena st Petersburg na niko poa kila mtu ananikubali kwa kuwa makini na upstairs wewe tu na kakayako huyo mbona waliosoma hapo jalalani wako hivyo sana na weupe kichwani hadi aibu
Mkuu unakosea sana kusema namna hiyo ujue!

Waswahili wanaposema 'nyani haoni kundule' siyo wajinga.

Mtu hupimwa na watu wengine, hajipimi mwenyewe.

Hapo waweza kukuta una tutabia twa hayati Jidola bila ya wewe kujua na ukawa unajiona upo fit mno huku watu wakikupimia na kukuchora tu.
Embu jaribu kukubaliana usichokubaliana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kule kuna elimu advance kabisa ambayo wao ufundisha mpaka kupitiliza elimu yenyewe.ndio maana una ona teknolojia na vumbuzi nyingi
 

mbona mimi nimesoma Russia
kumbe? ndo maana
 
Elimu ya urusi ina tisha sana ingia kwenye majarida au documentary utaona mambo wanaoyo fanya urusi,unaweza kusema hivi huyu ni binadamu au kichaaa mfano ndege kubwa kujengwa antonov 225

The Soviet RDS-220 bom hili bomu hata dunia ilibidi kukaa chini maana sio bomu ni kulipua dunia ilitumika sample
 
Urusi ni nchi yenye baridi kali duniani.ili umudu baridi iliyopo urusi whisky ni chai ya asubuhi, chakula Cha mchana na Cha jioni.hadi umalize miaka 7 ubongo ulisha kolea pombe.ukirudi huku unskutana na serengeti lager unachanganyikiwa
Umenifungulia kitu. Sikuwahi kujua kwamba drinking culture yao inachochewa na baridi.
Thank you.
 
TSAR BOMB unaijua wewe .
 
Russia kwenye elimu yao huwa wanajitahidi kujua saikolojia ya mwanafunz asahau kama kuna ubinadamu,asahau kama kuna Mungu.
Ukijumuisha na Pombe Kali,ubaguzi nje nje,lifestyle ya kishetani ni lazima upungukiwe kichwani.

Nchi zenye manufaa kusoma kwa vijana wetu ni
USA
UK
Canada
Australia
Franch
Finland
Newz land


Akishindwq kabisa
India
Germany
SA
South Korea
Scandinavia countries
Botswana

Addition
Kenya,Uganda (makerere),Namibia,Nigeria,Ghana,Egypt na saudia arab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…