Watu waliosoma Urusi kwanini wakirudi nchini wanakuwa na kasoro fulani?

Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Mada yangu ni kwamba kwa nini waliosoma Urusi wakirudi nchini hawarudi wakiwa sawa kwa sababu

Wengine wanaweza kurudi wakiwa na kasoro fulani

Kwa mfano kaka yangu alisoma daktari urusi Ila kuna vitu fulani nikimtazama namuona hayuko sawa Ila ni daktari mzuri sana

Alinishawishi na Mimi kusomea hiyo fani yake japo mi nilisomea mambo ya madawa

Amenifundisha vitu vingi Sana kuhusu madawa na kwa mambo aliyonifundisha naweza kumuua binadamu ndani ya sekunde kumi mpaka ishirini kwa kuchangaya haya madawa ya binadamu.

Yaani mpaka mda fulani najiuliza kuna nn urusi na siyo yeye tu nawafahamu wengi sana waliosoma urusi upande wa madaktari na fani mbali mbali ni watu ambao siyo mchezo mchezo
Refer to the late Dr.Shika🙏
 
Nimepiga kitabu Russia tena st Petersburg na niko poa kila mtu ananikubali kwa kuwa makini na upstairs wewe tu na kakayako huyo mbona waliosoma hapo jalalani wako hivyo sana na weupe kichwani hadi aibu
Mkuu unakosea sana kusema namna hiyo ujue!

Waswahili wanaposema 'nyani haoni kundule' siyo wajinga.

Mtu hupimwa na watu wengine, hajipimi mwenyewe.

Hapo waweza kukuta una tutabia twa hayati Jidola bila ya wewe kujua na ukawa unajiona upo fit mno huku watu wakikupimia na kukuchora tu.
Embu jaribu kukubaliana usichokubaliana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Mada yangu ni kwamba kwa nini waliosoma Urusi wakirudi nchini hawarudi wakiwa sawa kwa sababu

Wengine wanaweza kurudi wakiwa na kasoro fulani

Kwa mfano kaka yangu alisoma daktari urusi Ila kuna vitu fulani nikimtazama namuona hayuko sawa Ila ni daktari mzuri sana

Alinishawishi na Mimi kusomea hiyo fani yake japo mi nilisomea mambo ya madawa

Amenifundisha vitu vingi Sana kuhusu madawa na kwa mambo aliyonifundisha naweza kumuua binadamu ndani ya sekunde kumi mpaka ishirini kwa kuchangaya haya madawa ya binadamu.

Yaani mpaka mda fulani najiuliza kuna nn urusi na siyo yeye tu nawafahamu wengi sana waliosoma urusi upande wa madaktari na fani mbali mbali ni watu ambao siyo mchezo mchezo

Kule kuna elimu advance kabisa ambayo wao ufundisha mpaka kupitiliza elimu yenyewe.ndio maana una ona teknolojia na vumbuzi nyingi
 
Habari wakuu?

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32,nilikuwa naishi na mzazi mwenzangu ambae tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka miwili sasa.mzazi mwenzangu ni mtu kutoka kabila la wahehe.

Mwaka jana mwezi wa saba nilipeleka barua ya posa nyumbani kwao na wakanipangia mahari, mipango yangu ilikuwa mwaka jana december ningeipeleka hiyo mahari huko kwao but mambo yakaingiliana hapo katikati yaliyopelekea mpaka leo bado sijaipeleka hiyo mahari.Huyu mwanamke kiukweli naweza sema ananipenda sana tu coz sijawahi kuona dosari yoyote kwake.so tatizo limeanza mwezi uliopita, ambapo alianza tabia ya kuwa anashika simu yangu hovyo akakutana na messages kutoka kwa wanawake wengine.

Well, ni kweli nilikuwa nacheat kipindi flani hivi, nilikiri kosa na kumuomba msamaha,alichosema ni kwamba amenisamehe but anahitaji nafasi kwanza ya kuwa mwenyewe coz anaona hana amani kuendelea kuishi na mimi kwa hayo yaliyojitokeza na mengine kadhaa yaliwahi kutokea siku za nyuma, nikamsihi asiondoke but ikashindikana, akaondoka na mtoto wakaenda kupanga mtaa jirani na kwangu..kiukweli sio kwamba simpendi huyu mwanamke,ila tu ni tamaa zetu wanaume ndizo zilizonifanya nikaanza kutoka nje.najua nimemuumiza sana moyo wake kwani alikuwa ni mtu mwenye matarajio makubwa sana na mimi.

Ombi langu kwenu wakuu ni kwamba,nawezaje kumrudisha huyu mwanamke ili maisha yetu yaendelee kama mwanzo?au kwa scenerio hii ya yeye kuondoka nyumbani kwa hasira na kwenda kupanga kwingine nimpotezee tu aendelee na maisha yake?na vipi nikiamua kumpotezea ile barua ya posa niliyopeleka kwao haitokuwa na madhara yoyote?

karibuni kwa mawazo yenu wakuu.

mbona mimi nimesoma Russia
kumbe? ndo maana
 
Elimu ya urusi ina tisha sana ingia kwenye majarida au documentary utaona mambo wanaoyo fanya urusi,unaweza kusema hivi huyu ni binadamu au kichaaa mfano ndege kubwa kujengwa antonov 225
IMG_1308.jpg

The Soviet RDS-220 bom hili bomu hata dunia ilibidi kukaa chini maana sio bomu ni kulipua dunia ilitumika sample
 
Urusi ni nchi yenye baridi kali duniani.ili umudu baridi iliyopo urusi whisky ni chai ya asubuhi, chakula Cha mchana na Cha jioni.hadi umalize miaka 7 ubongo ulisha kolea pombe.ukirudi huku unskutana na serengeti lager unachanganyikiwa
Umenifungulia kitu. Sikuwahi kujua kwamba drinking culture yao inachochewa na baridi.
Thank you.
 
Elimu ya urusi ina tisha sana ingia kwenye majarida au documentary utaona mambo wanaoyo fanya urusi,unaweza kusema hivi huyu ni binadamu au kichaaa mfano ndege kubwa kujengwa antonov 225View attachment 1594024

The Soviet RDS-220 bom hili bomu hata dunia ilibidi kukaa chini maana sio bomu ni kulipua dunia ilitumika sample
TSAR BOMB unaijua wewe .
 
Russia kwenye elimu yao huwa wanajitahidi kujua saikolojia ya mwanafunz asahau kama kuna ubinadamu,asahau kama kuna Mungu.
Ukijumuisha na Pombe Kali,ubaguzi nje nje,lifestyle ya kishetani ni lazima upungukiwe kichwani.

Nchi zenye manufaa kusoma kwa vijana wetu ni
USA
UK
Canada
Australia
Franch
Finland
Newz land

Akishindwq kabisa
India
Germany
SA
South Korea
Scandinavia countries
Botswana

Addition
Kenya,Uganda (makerere),Namibia,Nigeria,Ghana,Egypt na saudia arab
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom