Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
- #61
Wewe ulibabuka kisa niniKama mdomo wangu au
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Wewe ulibabuka kisa niniKama mdomo wangu au
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Kwenye maelezo yangu nilipowabagua ni wapiiKama unapima watu kwa kubabuka midomo inabidi upambane na hali yako....
Jitazame vizuri wengine wanywa gongo tu, baridi, mawazo pia hubabua midomo pia kwenye uzi wako umeenda direct kuwabagua watu wenye hiv io haijakaa vizuri sana, wapo watu waliojitunza sana waliangalia midomo ya watu lakini sehem walipozolea virusi hawakuamini vipimo, chukua atua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unapima watu kwa kubabuka midomo inabidi upambane na hali yako....
Jitazame vizuri wengine wanywa gongo tu, baridi, mawazo pia hubabua midomo pia kwenye uzi wako umeenda direct kuwabagua watu wenye hiv io haijakaa vizuri sana, wapo watu waliojitunza sana waliangalia midomo ya watu lakini sehem walipozolea virusi hawakuamini vipimo, chukua atua
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mama Sabrina wa Engosheraton-unga Ltd....?50 hajababuka mdomo wake ni mwekundu,,tofautisha kubabuka ,mfano kuna watu wana lips za pink
Hongera kwa kuwa na macho yenye vipimo vya Hiv,nam ntakuja unipimeHapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
Hii husababishwa na Anti-bodies ku-attack mwili wako mwenyewe...tunafahamu kuwa kazi za antibodies ni kupambana na antigens(zinahusika na protection) ila sometimes(non-etiology) zina-bahave abnormal badala ya kuprotect mwili zina-attack mwili...Hebu ielezee basi kwa kiswahili,,ni upungufu wa ?
Kama anafuata masharti ya dr ana chance ya kuishi kwa muda mrefu tuhaijakaa vizuri kwakweli..mamBo mengne tushukuru tu Mungu kutuepusha..huyu ndg yangu mie alikua na tatz hasimamish toka udogo mwaka 2000 akataftiwa dawa za kienyej akapona kbs..mwanamke wa 1 kukutana nae tu kamuamBukiza ngwengwe! imagine inauma kias gan! nashukur MUNGU anajitambua sana sana ! ananipa faraja kwakweli... siji kumnyooahea mtu aCi..wengne huwa bahat mby..inaumiza sana kukuta habar km hz!
TUSIHUKUMU TUSIJE HUKUMIWA
Kama anafuata masharti ya dr ana chance ya kuishi kwa muda mrefu tu
Hahahahaha,,,mbona mi nanyonywa lakin hababuki bana
Kuna maisha baada ya maambukizi ni vile utakavyo tune brain yako.@m
yaan hata dawa sijawah mkumbusha! anakunywa vzr mnoo kanenepa vzr sana sana ... na hatak kbs dyudyu... very postive ..
Kuna msisha baada ya maambukizi ni vile utakavyo tune brain yako.
Kama anafuata masharti ya dr ana chance ya kuishi kwa muda mrefu tu
Si kweli mkuu ingawa Mimi si daktari Mimi ni dada wa kwetu KwamtogoleDoctar..!! Kila aliyebabuka mdomo kaathirika?