Hate Mimi midomo yangu imebabuka... Imenichukua Miaka kujiamini.. Namshukuru Mungu tuSi kweli mi nina ndugu yangu kababuka midomo ila ndo alivozaliwa
IRON LADY!!!!
Kwaiyo gonjwa linalofubaza Ni ukimwi tu.. Kuna cancer.. na Mengine mengi madoctor ndo wanajuaNakuambia hivi wenye ngoma wengi wanajulikana tu mbona ukiwaangalia tu hawaeleweki kwanza wamefubaa , acha hawa wabishe mi nishaona na washakufa wengi tu
Mkuu...umewaona wazungu wote?Mbona wazungu hawababuki na wanaishi na barafu juuu