Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
- #41
Tofautisha lips nyekundu,,,nasemea waliobabukaInategemeana...kuna watu wan lips nyekundu,kuna wengine wana lips nyeusi,n.k
Tofautisha lips nyekundu,,,nasemea waliobabukaInategemeana...kuna watu wan lips nyekundu,kuna wengine wana lips nyeusi,n.k
Huyo bibi yako kanenepa?Hapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
Yaje tu ntafulia nguo.Heheheh,,unisaidie maana hapa kuna mapovu yanakujaa
Kapungua na uzee unnamaliza,,si unakijua kisukari kinamaliza mwiliHuyo bibi yako kanenepa?
Sent from my TV
Nimekuelewa...Tofautisha lips nyekundu,,,nasemea waliobabuka
Hata kwenye au ukoo huwa tunaona jamaninashindwa hata cha kucomment... kwenye familia yangu nna ndg ameathirika..nipo postive zaid kwa watu kma hawa..hata huwa sipend kuwaongelea imagn upite hapa uone linaongelewa gonjwa hili...mengn tuachage tu mambo mengine... ishu ni kuwa nikua waaminifu..kupima kilamara ukiingia kwenye rlshp mpya...!
Sasa ulitaka nilale nao au ionekane sijawanyanyapaaAiss wewe ni mnyanyapaa hatariiii,naomba uupate
Sent from my TV
Sikijui kisukari...ila kama kinamaliza mwili basi si kila mwenye kupungua ana HIV...jamaa uliyemkuta hospital kapungua huenda ilikuwa kisukariKapungua na uzee unnamaliza,,si unakijua kisukari kinamaliza mwili
Hata kwenye au ukoo huwa tunaona jamani
Hebu ielezee basi kwa kiswahili,,ni upungufu wa ?Auto-immune diseases...
Kuwanyanyapaaje,,tusiongeleeenakuelewa! nahis km ni moja ya kuwanyanyapaa wagonjwa... !
Wewe kupungua kwa HIV ni kwingine kabisa,japo kisukari kinatisha nachoSikijui kisukari...ila kama kinamaliza mwili basi si kila mwenye kupungua ana HIV...jamaa uliyemkuta hospital kapungua huenda ilikuwa kisukari
Sent from my TV
Kuwanyanyapaaje,,tusiongeleee
Tofauti yake niniWewe kupungua kwa HIV ni kwingine kabisa,japo kisukari kinatisha nacho
Usinichoshe kagoogleTofauti yake nini
Sent from my TV
Nisaidie kaka angu