Watu walio na midomo iliyo babuka

Watu walio na midomo iliyo babuka

Hivi inakuwaje watu wanababuka midomo?yaani midomo inakuwa na wekundu hivi kama kaunguzwa moto,,halaf nimechunguza nikagundua watu walioathirika na HIv wengi wao wamebabuka midomo sijui ni kwaajili ya dawa zao wanazomeza,,kuna sehemu nimekuja hapa yaan watu nnaowafaham afya zimezorota ,ngozi zao hazing'ai,,midomo imebabuka,
Pia kuna huyu dada nilimuacha vyema tu mzuri kweli nimemkuta nae midomo imebabuka ,ngozi yake haing'ai kama mwanzo,,
Katika maisha yangu nawaogopa sana watu waliobabuka midomo na ngozi hazing'ai ,,hata unipe nini mwanaume aliebabuka midomo hapana kabisa naonaga kama ni wagonjwa,,maana nishatembelea wodi ya wagonjwa wa HIV wotr midomo yao imebabuka,, (je ninavyohosi ni kweli asilimia ngapi??) Halaf nikimuhisi mtu kaathirika na kweli anakuwa kaathirika kweli nikimuangalia macho yake,ngozi ,,,tumuombe Mola aisee magonjwa haya mabaya sana
Nakumbuka zamani kuna kijana mmoja alikua akinifukuzia ananialika tukale wote mara anitumie pesa,,sasa ile nikitaka kwenda kuonana nae roho inakataa kabisa,, mpaka akaacha kunisumbua,,sasa siku zikapita sijaonana nae nikajua alisafiri ,,kumbe kalazwa hospital ,siku moja naenda kusalimia mgonjwa si nikakutana nae anafanyishwa mazoezi kakondaa midomo imebabuka,,nywele zimekuwa lain halaf zimenyonyoka ,,anatembelea mti ,ngozi imepauka hata ukiipaka mafuta sidhani kama yatashika,, nadhan alitaka hata kukata njia nyingine tusionane lakin hakuweza ,,aisee nilishtuka jamanii,,nikasema kumbe nilikimbia moto,,
Mim huwa najitahidi sana kuchagua aisee na ni vyea zaidi kupima na kutumia kinga,,,pia msifanye sana fanyeni kidogo tu kuepuka michubuo
Mambo yashaharibika oohoo
Najua kuna watu wanaokunywa pombe kali midomo nao hubabuka lakin wengi waliobabuka ni waathirika wa HIV,,,
acha dharau unadhani kuna anayependa hali hiyo
 
Ahahaha Mama sabrina unafanya tuanze chunguza watu midomo



Sema mimi kuna anko angu alikua mtaaratibu saana mambo yake, alikua anababuka sana midomo tukawa tunamuonea huruma kwamba anko ana midomo mibaya sana aseee kumbe anapiga konyagi balaa na alianza kuzipiga shule ya msingi hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha Mama sabrina unafanya tuanze chunguza watu midomo



Sema mimi kuna anko angu alikua mtaaratibu saana mambo yake, alikua anababuka sana midomo tukawa tunamuonea huruma kwamba anko ana midomo mibaya sana aseee kumbe anapiga konyagi balaa na alianza kuzipiga shule ya msingi hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelezea hapo kuwa kuwa pombe kali zinababua midomo
 
Inategemeana...kuna watu wan lips nyekundu,kuna wengine wana lips nyeusi,n.k
 
Back
Top Bottom