Nyie jipeni tu moyo ,, Ngoma nimbaya na ukishaipata km hukuwahi kufikiria kifo ndo njia inaanza sasa ,, mpaka ujikubali sio Leo wala kesho nahat km unatumia mbaazi huwezi kupita miezi miwili wewe bila kua hoi ... Na unapoipata ile kuna mawili either ujinyime kabisa haki ya tendo LA ndoa ,,,,,au ufanye kuwaunguza wenzako huku moyon ukiumia ..
Kwaufupi Ndio maana kampeni nyingi kuhusu HIV zinalenga kupunguza maambukizi na kuutokomeza lkn zinazotia matumain Kwa wao nicache kichizi tena sana .
Kikubwa nikuyouza gem kizembe au bila kupima.