Watu wafupi zaidi duniani hawa hapa

Watu wafupi zaidi duniani hawa hapa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
249-800x532.jpg
333.jpg
Unaambiwa harusi ilifana baada ya Matt Mccarthy mwenye urefu wa futi nne kumtamkia mpenzi wake Amazing Chapman mwenye urefu wa futi tatu nia ya kumuoa ambapo rafiki wa wawili hao Todd Ray ambae ni mtangazaji wa show ya Tv ya Venice aliwafanyia bonge la party kwenye harusi yao.
Ray amesema hawa wapendanao wanafuraha na maisha yao lakini swala la kupata mtoto ni kikwazo na linazungumziwa sana, Matt anataka watoto lakini Ali hana uhakika.
 
mmmmmmmm maajabu yake Mungu kaumba watu wa vimo mbalimbali.....
 
kinacho nifurahisha the lady is very haappy. angekuwa ni shost wa kibongo ukimuangalia sana tu utaoga t*u**s*i za kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom