Watu wafupi mnanini lakini?

Nawe ofisin kwako wanakazi kweli,
Maan naona hap ni zero IQ kabisa hakun cha maana ulichoandika.. yaan ukae unawaza kimo ama weakness ya mtu hasa maumbile.. inaonekan huko ofisin kwenu we ndo kilaza that why unatafuta physical weakness za watu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ufupi wa mtu ww unaupimaje? Acheni dharau , mbona wapo WATU wafupi na wako poa tu , hayo ni matatizo ya mtu binafsi hayahusiani na maumbile
 
Kwani ufupi wa mtu ww unaupimaje? Acheni dharau , mbona wapo WATU wafupi na wako poa tu , hayo ni matatizo ya mtu binafsi hayahusiani na maumbile
Huyo mleta mada ni msenge
 
Kuna mtu mfupi mmoja aliwahi kunitishia maisha nikamuangaliaa nikaingiza mkono mfukoni nikatoa mia mbili nikampa hela ya pipi

akaendelea kuwa mkali ila kila nikimuangakia naona nikikapiga nakaua.
 
Kuna mtu mfupi mmoja aliwahi kunitishia maisha nikamuangaliaa nikaingiza mkono mfukoni nikatoa mia mbili nikampa hela ya pipi

akaendelea kuwa mkali ila kila nikimuangakia naona nikikapiga nakaua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah you made my day mkuu.....back to the topic mtuache sisi short chesis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…