Watu wafupi mnanini lakini?

Mnaobishana Hebu tupieni tuwaone ndo tutajua na kupata soln kuwa u mrefu ama nyadundo ka mie hapa! 🤠
 
Umenichanganya sana, kwamba wewe ni MamaSamia2025 iweje uwe na hofu ya MCC Kuendelea??
Kila kitu duniani kinawezekana ikiwemo CCM kuiondoa CCM madarakani ila sio rahisi kama wanaosema wataiondoa CCM madarakani ndo hawa wanaojadili watu wafupi. CCM iko bize kujiimarisha
 
😂😂😂 Sa itakuwaje na ufupi wetu afu tuna viguu vifupi vimekomaa kweli watuache
Yaniiii! Sio kwa michambo hii gubuu letu kisirani chetu hasira zetu makasiriko yetu nyieee!
Sasa mmehamia kwenye vigimbi vyetu jamaneee🙌🤭!
 
Kwahiyo mkuu umeamua kumdiss ZAKAYO?
 
Yaniiii! Sio kwa michambo hii gubuu letu kisirani chetu hasira zetu makasiriko yetu nyieee!
Sasa mmehamia kwenye vigimbi vyetu jamaneee🙌🤭!
Niliona mmoja alivaa zile raba za 20,000 nyeupe Air force ya mchongo nikaona kigimbi, kiguu kifupi km cha mtoto wa 3yrs
Na muda wote ana makasiriko nikajua tyr kimo kinamsumbua 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hii imeenda uduguu nakugawa ujueee 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😁!
 
Mbona huwa ninahisi una akili??
Naona kama wewe una uelewa mkubwa sana.

Ukiuzingatia huu Uzi, mwandishi amesemea watu hao(sinahaja kiwataja) kwamba n muhim kiwazimgatia, sio kibaguz, kqa maana kwamba hawapaswi kuwa neglected. Nadhan hapa amesaidia . So badala ya kumtimba ni vema kumuelewa.
 
Jomba umeandika ukiwa kwenye boda boda nini?
 
Kaa kimya wewe. Kila mtu ni mfupi au mrefu kutegemea kasimama na kina nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…