Watu wa zamani walipandishaje yale mawe ya tani 4 ghorofani pasipo crane?

kwahiyo pale anapotembeza karanga huwa anatumia upepo sio nguvu tena
 

Wale walikuwa hawali chips period


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona jayant nipo huku tulikua tukibeba begani
 
dmkali, Director Cosmopolitan, Losser Bad
... it is very simple; kwani likijengwa jukwaa kubwa sana kuzunguka eneo lote na refu kuliko pyramid lenyewe halafu wakapanda na kujipanga safu safu za wanaume say 1,000 juu kule kisha jabali likafungwa kamba za kutosha watashindwa kunyanyua hizo kg. 4,000 (tani 4) mfano wa crane za leo? Hapo si wastani wa kg. 4 kwa kila mtu? Hata watu 100 tu wanatosha; just 40kg per person!

Vitu vingine wala sio miujiza ni akili kidogo tu as long as you can mobilize the resources! Kumbuka hao walikuwa watumwa na pyramid ni kwa ajili ya kuzika wafalme so, kama ni watu haikuwa issue maana watumwa walikuwepo na hata kufa au kupona kwao wakati wa kazi haikuwa issue - muhimu "punda afe lakini mzigo ufike". Kama ni resources, nimeshakuambia hazikuwa nyumba za maskini bali makaburi ya wafalme; so, resources kama chakula, malighafi, vitendea kazi, n.k. halikuwa tatizo.
 
Assumption principal!!!
 
Nashawishika kujua kazi unayofanya.
 
Ngoja nibukue kwanza. Ila inaweza kuwa walitumia pulley na kamba au minyororo. Tuendelee kutafutia, yeyote atakayeona facts zaidi atuambie.
 
Aha! Kama walivyosema baadhi ya wanajamii, hata wanasayansi magwiji wa UK, USA, na bongoland hawajulikani technology iliyotumika kupandisha mawe ya pyramids za Egypt!
Maana yake ni kwamba waliojenga hawakuwa wanadamu kama humans au wabongoland.
 
Picha/mchoro ulioweka rough sana.mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ishu sio kutembeza Ishu anaingiza sh ngapi?
 
Ndio ninyi mnaosoma history kwa dictionary halafu mnakuja kujaza matangopori humu!
Tuanze na mawe yenyewe tools gani enzi hizo (precision instruments) kama micrometer, zilitumika kupima, kuchonga au kuyakata na kuyasafirisha mawe yale hadi kwenye sites? Hao "wanaume" au watumwa wote kwa mamia na maelfu waliishije mbona yamebaki mummies wa wafalme tu? Na hakuna kifaa hata kimoja kilichoonekana maeneo hayo, viliondoleewa au viliyeyukaje? Yaani msumeno utumike kukatia jiwe haupo, halafu mwili wa binadamu (mfalme) aliyeutumia uonekane leo lakini vitendeakazi vyake kama msumeno wake uyeyuke kabisa hata jino lake moja tu hakuna! Ni ajabu sana. Inatupasa kujiuliza sisi je! Tutaacha ustaarabu gani kwa vizazi vijavyo?
 
kwakweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…