Walitumia principle za physics
"Pulley system" ambayo ilikuepo tangu karne ya 17
Kwa sasa,
Pulley System imekua modified zaidi kuweza kuunda hizo cranes, lift Elevators n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karangaHuko misri kuna pyramid kubwa ambazo juu zina mawe makubwa kukadiliwa uzito wa tan 4 na zilijengwa enzi za zamani kabla ya kuja mitambo ya kunyanyua vitu vizito (crane).
Hata pale Zanzibar ukipita baadhi ya mitaa utaona magofu ambayo juu kuna majabali ya mawe mazito na inasemekana ni watu wa kale waliyapandisha.
Je; watu Wa zamani waliwezaje kupandisha blocks/mawe mazito urefu wote huo bila kutumia crane? au walitumia ndumba?
View attachment 1019253
Naunga mkono hoja watu wa zamani walikuwa ni GIANT hasaHiyo ni kazi ya giants/majitu walifanya kazi hiyo.Usiniulize walifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Pyramids zilijengwa na aliensBro pyramid zina miaka mingi kabla hata yesu hajazaliwa,unazungumzia karne ya 17,mimi naanza shule!!!
fafanuaPyramids zilijengwa na aliens
eti
Mkuu kijana ulitaka atembeze mawe ?Huna haja ya kwenda mbali jiulize tu Reli ya kati wakati inajengwa enzi za mjerumani kama kulikuwa na crane au Yale mataluma yalibebwa na waafrika enzi hizo ,sasa hivi kijana jabali kabisa katoka mkoani anatembeza soksi na boksa .Kiufupi binadamu nguvu na akili anayo basi tu.Hakuna kitu kinanikera kama kuona kijana mwenye nguvu zake eti anatembeza karanga
Sent using Jamii Forums mobile app