Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Hao wanaochapa watu ni serikali au vijana tu wa mtaani? maana sio unakuja hapa kufungua uzi na picha ya miaka mitatu nyuma yenye kuwahusu vijana wa kipemba huko mtaani halafu unalaumu waislamu,maana hao vijana siku wakikaba watu huko utakuja kusema waislamu waislamu wakabaji?Kuchapa watu sio kuoazimishana? Shekh umevembewa uftari?