Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,554
hii video ina miaka mi5 nyuma, siku hizi hakuna hizo, sasa hivi hawapigwi na wanalindwa sema tu hawawezi kula hadharani, kitu ambacho kinanishangaza tunaofunga bara ndio tunafunga manake unapofunga vishawishi vingi inabidi uvikwepe, umefunga na upo kwa mwendo kasi uliyekaa nae anatafuna karanga sasa majaribu kama yale unapoyashinda ndio kufunga sio unazuia mwenzako asile, migahawa yote imefungwa, ila ya chama chao ipo wazi,View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu