Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Ulichoandika hapa inaonyesha jinsi mnavyoumwa ugonjwa wa usokwe hamfikirii kama binadamu wa kawaida.. Ndio maana rais wenu ni Sugu.
Matumbo, tangu lini ccm ikajenga barabara kwa wananchi!? Maendeleo yoyote yanaletwa kwa nguvu za wananchi wenyewe kupitia michango yao ya hali na mali. Rejea kodi ktk kila kitu unachotumia. Ccm hawana uwezo wa kuwapa watu maendeleo. Lete ushahidi hapa wa barabara zilizojengwa kwa fedha za ccm. Unaropokaropoka na kuonyesha ulivyo hayawani kichwani. Wote wanaoishabikia ccm hawako timamu fahamu zao.
Ulichoandika hapa inaonyesha jinsi mnavyoumwa ugonjwa wa usokwe hamfikirii kama binadamu wa kawaida.. Ndio maana rais wenu ni Sugu.
Mkuu sisi huku ni mabadiliko ya kweli hatutaki kuendelea kudanganywa na ma ccm
Mbeya kwetu walilolifanya jana wale vijana si la kulishabikia.
Hekima na busara n kusikiliza then kwa sandkula kura kama hajakuconvice usimpe kura.
Kelele na fujo hazisaidii
Kwanza mktukosya esoni twaoneka Mbeya wafujo.
Nahii abia imekuaikiendelea ata kwenye iutao ya kampeni hasa vijna wa CDM kuleta fujo.
Watu wa mbeya niwajuao mimi ni wastarabu
Kwanini unatumia akili za mbuzi, wakati unazo za kwako? CCM OUT!
Sasa ww unataka wabadilike vp? Mabadiliko yenyewe ndio hayo lowasa tu ww unatakaje?
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Hata sisi hapa mwanza tunaenda na Wenje ndio mbunge wetu tunayemtaka hana upinzani. CCM wametuletea dogo mmoja aitwae Mabula ambaye alishindwa kabla hajaanza. Kura zote kwa Wenje na madiwani wake. Nikichungulia kwa jirani zangu wa ilemela nao wameamua kwa Kiwia kura zote kwake wamekataa kumchagua mgombea wa ccm mama Mabula aliyeshindwa kutatua migogoro ya aridhi akiwa mkuu wa wilaya.