Watu wa Mbeya mtabadilika lini?


ushauri wa kipuuzi kawapelekee magamba wenzio hapa sio mahala pake sawa, wewe una uzito kutuletea ushauri ukashindwa kumpa ushari bombe na kubinuka jukwaani na push ups??? Kwenda zako
 

Mbeya kuna cha Malawi chalii yangu kama hujui!
 

Unataka watu waamini unacho amini we bwaha nini mbona hata makambako wamefanya hivo yaan hapo ndo wamebadilika wabadilike waende wapi
 
Rudi shule wewe bibi kizee, stress zako hawezi ziondoa lowassa. Piga shule upate akili ya maisha.

babu kizee upo,turudi shule wote maana stress zako magufuli hawezi ziondoa,kapige shule upate akili,penikeee vepeeeeeeeee
 

Wewe kweli hamnazo. Kuishi Dar ndio unaona umewin sana hadi unatukana vijana Wa Mbeya hivyo?
Acha ushamba wewe, hao wabunge wengine unaowaona wamaana kuliko Sugu wamefanya kipi majimboni mwao?

Unaifananisha Mbeya na mkoa gani?... Mbeya ipo juu sana mtumwa wee.
 
ushauri wa kipuuzi kawapelekee magamba wenzio hapa sio mahala pake sawa, wewe una uzito kutuletea ushauri ukashindwa kumpa ushari bombe na kubinuka jukwaani na push ups??? Kwenda zako
Watu hawaipendi ccm mpaka basi. Hizo kura wataiba mpaka wataanza kuona aibu
 
SUGU anahusikaje hapo? Maana JK, MKP waliipata freshi kule mbeya. Je SUGU alikuwa mbunge kipindi hicho? Watu wa CCM wana akili ndogo sana fikiria nje ya box na utoke ndani ya box
 
wabunge wa ccm wanaongoza kuzomea bungeni nao ni ukawa wanatoka mbeya?au nao ni masela?
 
 


mwaka huu mtanyooka tu!
 


Wewe unaona hiyo ni akili?

Hapana Mkuu, sioni kama ni akili kwa Magufuli kusalimia watu wa Mbeya Chadema Oyeeeee na Peoples!
 
Ina maana wewe mpaka umri huo hujui kuwa kuzomea ni njia ya kistaarabu ya kumwambia mtu mkubwa/mzima kuwa hutakiwi na tafadhali ona haya uondoke zako?haiingii akili watu wazima kwa miaka Zaidi ya 50 mnakuja kuwaimbisha watu wazima wenzenu uongo ule ule tofauti tu mnabadilisha mtangaza uongo halafu mutegemee kushangiliwa?zomea itawahusu sana mwaka huu!
 
Hebu achene kujitoa ufahamu hapa !ina maana wote hamjui tafsiri ya kuzomea?waambieni hicho chama chenu kiache kutangaza uongo(ilani) inaupigia debe kwa miaka 50 ndipo wananchi wataacha kuwazomea!kuna ahadi yeyote mpya waliyoitoa hao Zaidi ya zilezile kanakwamba ndio mara yao ya kwanza kuingia kwenye uchaguzi na utawala unaoisha hawana nasaba nao?zomea zomea inawahusu sana mwaka huu!
 
Lawama zote anatakiwa azibebe Magufuli maana yeye alikuwa anapiga push up vijana wakajua labda jamaa amechanganyikiwa.... na kwa kuwa Mbeya ni wastaarabu sana wakahamua kumzomea ....walikuwa hawajui kuwa push up ni sehemu ya sera za ccm...UKOMANDOO WA KUIBA KURA!
 
Ha,haaaa! mtoa mada naona kaelewa somo.labda awe na kichwa cha...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…