Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Kwa mkuu wa kaya umelenga kwenyewe, yaani apenda sifa zaidi ya neno lenyewe, ukitaka kujua anapenda mtazame akiwa anatoa hotuba anavyotazama watu kisifa sifa anaangalia kina nani wanampigia makofi,
 
Ndio washamba kabisa hafu tuliza mshono kaoge umepanic si wewe uliyeanza kuingiza mambo yasiyo husika nikakujibu kulingana na pointless yako uloandika.
Naona umewashindwa kina fisadi mkuu wanihamishia kiranga mie na mitusi ya kishamba na kijima ka defense mechanism na huo huo nao ni ushamba mojawapo.
#PanicAtUaOwnRisk
Nimekuuliza ni washamba kiaje...?! Umeshindwa kujibu umekazana washamba tu..

Halafu kwani nimekwambia nataka kuoga...?! Halafu sijashonwa, we unadhani kama wewe una mshono basi ni watu wote...

Nimewashindwa kitu gani kina Fisadikuu...?! Thread au comments za kitoto huwa siingii kuchangia, huwa nachangia inapobidi na kama hakuna utoto utoto mwingi ndio maana nimewapotezea...

Lakini wewe nimeamua kukupa punch...
 
Nimekuuliza ni washamba kiaje...?! Umeshindwa kujibu umekazana washamba tu..

Halafu kwani nimekwambia nataka kuoga...?! Halafu sijashonwa, we unadhani kama wewe una mshono basi ni watu wote...

Nimewashindwa kitu gani kina Fisadikuu...?! Thread au comments za kitoto huwa siingii kuchangia, huwa nachangia inapobidi na kama hakuna utoto utoto mwingi ndio maana nimewapotezea...

Lakini wewe nimeamua kukupa punch...
Tuliza ball kiwanja kidogo nenda kapambane na wanaume wa shoka kwa facts kina fisadimkuu mchome jr kwangu unaonyesha tu udhaifu wako pa kutafta kutapikia nyongo na huwezi pata hyo chance.
Hizo panchi kawape washamba wenzako wajitambue na wajielewa
 
Hivi mbona mnasema mkuu wa kaya ni mzinza na si msukuma ianakuwaje aimudu lugha ya kisukuma kuliko kizinza kwa sababu hata ukimsikiliza tu lafudhi yake ni kisukuma
 
Tuliza ball kiwanja kidogo nenda kapambane na wanaume wa shoka kwa facts kina fisadimkuu mchome jr kwangu unaonyesha tu udhaifu wako pa kutafta kutapikia nyongo na huwezi pata hyo chance.
Hizo panchi kawape washamba wenzako wajitambue na wajielewa
Check sasa mlivyo, umeshahitimisha mimi ni mshamba, nikikuuliza ni mshamba kivipi huwezi jibu...

Kwa hiyo kumbe hao ndio wanaume wako wa shoka...?! Mi nawaona wavulana tu, kwa hiyo unafurahi ukiona nafanya convo na hao wavulana wako...?!

Labda kidogo Fisadikuu, muda mwingine ndio huwa anakua, lakini mara nyingi na yeye ana utoto mwingi...

Mi nakupa punch tu, hata ukichukia zinakuingia, unasikia zinavyokuingia...?! Unafurahia unachukia...
 
Hivi mbona mnasema mkuu wa kaya ni mzinza na si msukuma ianakuwaje aimudu lugha ya kisukuma kuliko kizinza kwa sababu hata ukimsikiliza tu lafudhi yake ni kisukuma
Mkuu wa kaya nadhani anatokana na mchanganyiko wa makabila ya wazinza, wasubi, wanyambo, wahaya na wasukuma. Kuthibitisha hilo angalia vielelezo vichache hivi:
lafudhi-msukuma
tabia-muhaya+mzinza
 
Hapana mkuu wa kaya ni msukuma sema sehemu aliyozaliwa na kukulia ndio maana unaona ni kama mhaya
 
Ila mkuu wa kaya anapenda sana sifa kweli kusingizia ni dhambi but kwa hili umeongea fact hyo mikoa kwa kujikweza ni soo
Mpelelezi ni yeye, hakimu ni yeye, mwanasheria ni yeye. mchumi ni yeye, tra ni yeye, hesabu ni yeye nk Aakipata kaishu basi anaibuka nako kwa nguvu ili kuonesha jinsi alivyosmart
 
Hapo kwa wakurya ni uongo,mpenda sifa siku zote huwa ni muongeaji na hulka ya wakurya wengi si waongeaji.
Kwa wakurya umechochora labda wahaya,wajita na wasukuma
 
Ila mkuu wa kaya anapenda sana sifa kweli kusingizia ni dhambi but kwa hili umeongea fact hyo mikoa kwa kujikweza ni soo
Angalia teuzi zake, karibu wote PHD au profesor anadhani hawa ndio wanauwezo sana wa kutawala, kumbe kuongoza muda mwingine ni kipaji na karama. Karundika PHD kwenye wakuu wa wilaya huko zikapige kelele wilayani huko badala ya kwenda kufanya tafiti na kutoa taaluma vyuoni.
 
W
mkulu sio msukuma yule ni mzinza sio kila mtu wa kanda ile ni msukuma ,
Wazinza na wasukuma hamna tofauti ni sawa na wazanaki na wakurya au wajita na wakara au wakwaya.
Ni kama walivyo wakurya kuna wasweta,walinchali,walinchoka,wa rorya, au wasimbiti hawa wote ni wakurya.
Au mwikizu na mzanaki
 
Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.

Makabila mengi ya kanda ya ziwa ukiachilia wasukuma ni watu wanaopenda sifa sana, angalia wahaya nadhani kila mtu anawajua, wakara ni sawa na wahaya, sina haja ya kusema sana kuhusu hao watu wanajulikana.

Kuna wajita nadhani mnawajua kina waziri wa mambo ya Tanesco, njoo wakurya sina cha kusema sana wanajulikana kwa kupenda sifa za ajabu ajabu.

Kingine watu wa kanda ya ziwa waliosoma sayansi huwadharau sana ambao hawakusoma sayansi, hujiona wao ni smart sana kuliko wengine. Mfono kwa miaka mingi huko tarime na serengeti mtu alikua akisoma masomo ya sanaa anaonekana kama sio mwanaume, kwamba ni masomo ya watu wenye akili nyepesi na wanawake.

Kwa mawazo hayo ukiangalia wasomi wengi wa kanda hiyo hasa mara walisoma sayansi hasa PCM na wengi waliishia kua mafundi umeme, mambo ya madini na ujenzi. Hata sasa ukienda tanesco mafundi(technician)wengi wametokea huko na hata pale wizara ya madini mabosi wengi wa zamani wanatokea kanda ya ziwa.

Mantiki yangu ni kwamba mfano angalia mkuu wa kaya kwa akili hizo hizo anataka kujionyesha kua yeye ni smart sana kuliko watanzania wote na kwamba yuko makini kuliko kitu chochote, ndio maana anaweza kusema hapa sijaona mtu anaefaa au kwamba hawa nimetumia muda mwingi sana kuwachambua mwisho wa siku unakuja kusikia kuna mwingine alichaguliwa kimakosa.

Ndugu zangu wa maeneo mengine inabidi mtuelewe watu wa kanda ya ziwa tunapenda sifa sana na ni wabishi hakuna mfano ukiachilia mbali ndugu zetu wasukuma(kutoa chenge) ambao kila kitu ni ntoho shiida, ntoho taabhu.
Mkuu bado mpaka sasa hujazingirwa nyumbani kwako.. Huruhusiwi kumsema mkuu wa kaya.
 
Watu wa kanda ya ziwa bhana..
1. Tumejengwa kujiamini na kuwa wanaume wa shoka..so tuna confidence na high self-esteem. So mfano ukizingua hatukupotezei; tunakutwanga/ kukupa makavu live. Lengo ni kujirishisha kwamba sisi ni wa shoka..So We utaona sifa kumbe kwetu ni normal tunalinda heshima katika macho ya jamii yetu tu, wala hatufanyii sifa.

2. Sisi ni watu tunaosocialize sana..mane no mengi, Utani mwingi na katika utani lazima uoneshe wewe ndiyo Kali ya mtani wako.. Sasa akipita mdaresalama atajua unatafuta sifa.. Kumbe wapi.. Ni sehemu ya maisha tu..

3. Tunatoka katika mazingira ambayo 'hero' ndo anaheshimika zaidi. Tunatoka kwenye slums, viporo, pasi ndefu n.k
So, when we make it lazima tucelebrate na marafiki; boys and girls tuliotoka same hood with.. So we utaona nafanya sifa kununua kreti tano kwa mtu mmoja kumbe wala.. Naridhisha nafsi tu tunaua maumivu ya zamani. And coz I made it; I deserve some respect..au sio wazee?
Sasa Why Dar Imeendelea Kuliko Huko
 
Wazinza na wasukuma ni jamii mbili tofauti kabisa mzinza mtabainishe na walongo au wahaya kwa karibu
 
Mtaendelea kubaki vivyo hivyo na kuzungusha mikono kwa ujinga wenu huo huo...

Eti washamba nyie mna ujanja gani sasa...?!
Mi mwenyewe sielewi huu ushamba anaousema ni upi sisi ni wapole na hatuna shida na mtu tuko bize na shughuli zetu tofauti na hawa mashoga wa dar.
 
Nosenses kabisa, Mkuu wa kaya n MSUKUMA, hapohapo unasema watu wa kanda ya ziwa wanpenda sifa isipo kuwa WASUKUMA, sasa tukuelewe vipi...?
Ukitaka kuandika kitu filiria kwanxa kisha njoo
Mkuu wa Maya inasemekana ni Mzinza si msukuma.Japo wanashabihiana nao.
 
Haahaaaaaa mkuu mbona waingiza yasiyohusika. Ni kweli washamba sana
#mchezohuuhauhitajihasira
Tueleze ujanja wa mother ako... Na ujibu kwanini alikubali kubeba mimba otherwise we ni fwara kama mafwara wengine tu.
 
Ila mleta Uzi umeongea ukweli tupu.Nilipanda treni na kahaya kamoja nilikuwa nacho chuo kikaniambia twende ukamsalimie mama yangu mzazi rafiki.Nikakubali kwa heshima yake,Ila kilipofika huko second walipo ndugu zake na huyo mama yake mbona kilichonikuta sitasahau niliwatolea na Mimi maneno machafu kama wao walivyonichafua.Yaani kuingia tu jamaa kaanza kujikweza na kunishusha.Halaiki inacheka na kusapoti.Ila kilichofuata huko nyuma nilipoondoka kwa hasira na Yale maneno niliyowapa wamesimuliana tu kwa kihaya na jamaa kamenikoma hakitonishobokea tena.
 
Back
Top Bottom