Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,949
Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.
Makabila mengi ya kanda ya ziwa ukiachilia wasukuma ni watu wanaopenda sifa sana, angalia wahaya nadhani kila mtu anawajua, wakara ni sawa na wahaya, sina haja ya kusema sana kuhusu hao watu wanajulikana.
Kuna wajita nadhani mnawajua kina waziri wa mambo ya Tanesco, njoo wakurya sina cha kusema sana wanajulikana kwa kupenda sifa za ajabu ajabu.
Kingine watu wa kanda ya ziwa waliosoma sayansi huwadharau sana ambao hawakusoma sayansi, hujiona wao ni smart sana kuliko wengine. Mfono kwa miaka mingi huko tarime na serengeti mtu alikua akisoma masomo ya sanaa anaonekana kama sio mwanaume, kwamba ni masomo ya watu wenye akili nyepesi na wanawake.
Kwa mawazo hayo ukiangalia wasomi wengi wa kanda hiyo hasa mara walisoma sayansi hasa PCM na wengi waliishia kua mafundi umeme, mambo ya madini na ujenzi. Hata sasa ukienda tanesco mafundi(technician)wengi wametokea huko na hata pale wizara ya madini mabosi wengi wa zamani wanatokea kanda ya ziwa.
Mantiki yangu ni kwamba mfano angalia mkuu wa kaya kwa akili hizo hizo anataka kujionyesha kua yeye ni smart sana kuliko watanzania wote na kwamba yuko makini kuliko kitu chochote, ndio maana anaweza kusema hapa sijaona mtu anaefaa au kwamba hawa nimetumia muda mwingi sana kuwachambua mwisho wa siku unakuja kusikia kuna mwingine alichaguliwa kimakosa.
Ndugu zangu wa maeneo mengine inabidi mtuelewe watu wa kanda ya ziwa tunapenda sifa sana na ni wabishi hakuna mfano ukiachilia mbali ndugu zetu wasukuma(kutoa chenge) ambao kila kitu ni ntoho shiida, ntoho taabhu.