Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Kuna msemo wa wahenga wa kizamani unasema kuepuka matatizo ni kumheshimu mtu mpumb.avu(mtu ambae hajui na hajui kama hajui na hata akitaka kujuzwa kwa maksudi kabisa hataki na atafanya kila jitihata kutokujua.) Nami naomba niheshimu huo msemo wa wahenga.
Bitch
 
Naona mnabaguana wenyewe kwa wenyewe halafu siku mkibaguliwa na muhindi au mu asia yeyote mje kulia lia humu eti wahindi wabaguzi..!!


Mleta mada lengo la kuanzisha hii thread labda ni nini hasa?
Kuna ubaguzi gani hapo?
 
Mkuu mbona umepanic sana relax and take a chill pill umepanic kupita maelezo mada inazingumzia kanda ya ziwa unaleta sijui utajiri.
Hahaaa meno hata yangekuwa yellow or pink it doesn't matter mbona hata kanda ya ziwa wapo ukichangia na sura za kutisha ka zombie.
You dont need to panic relax, hafu cjui nani alikwambia kura huamua uraisi zaidi ya maigizo ño democracy in Africa.
Mabadiliko tutaimba sana tu lakini haibadilishi ukweli kuwa ni washamba hata utokeje povu na kujifarijii dunia hii usipokuwa aggressive kutafta opportunities upige hatua utabaki kulaumu tu wengine kwa chuki zisizo na msingi wowote.
Nimekuuliza washamba kivipi hata hauelezei umebaki tu ni washamba halafu we ndio umesema ni maskini ndio maana nakuuliza huko kwenu kwani ni matajiri...?!

Wapi mada mada imezungumzia hawa watu ni washamba, nyie watu wa ajabu sana ndio maana mi nawachana tu...

Halafu povu bibi yako, kumbe unajua hakuna democracy endelea kuzungusha makalio sasa, hao washamba walishataka msaada wako kwani...?! Ngojea niwape punch tu nyie...
 
mbn wakerewe hatupo
Wakerewe hamna shida sana mko kama wakwaya, mmezungukwa na makabila yanayopenda sifa sana kama wahaya, wakara, wajita nk ila mko tofauti kidogo. Ni nyie na samaki samaki na ninyi.
 
Kuna ubaguzi gani hapo?
Maana thread yako inagawa watu, alafu kama ukiona watu wa lake zone wanakukela achana nao hamia sehemu nyingine hii nchi n kubwa pia raia anaishi mkoa wowote pasipo passport au visa.

Maana umeishia kulalamika tuuu hamna mtu aliekusaidia wala kukupa wazo zuru, WATU WANAKU-ENJOY TU.
 
Maana thread yako inagawa watu, alafu kama ukiona watu wa lake zone wanakukela achana nao hamia sehemu nyingine hii nchi n kubwa pia raia anaishi mkoa wowote pasipo passport au visa.

Maana umeishia kulalamika tuuu hamna mtu aliekusaidia wala kukupa wazo zuru, WATU WANAKU-ENJOY TU.
I am done with you mzee. Unataka nini tena kwangu? Nimekubali kua wewe ni smart enough. Acha wanienjoy hakuna shida.
 
Nimesoma na Wahaya Secondary to be Honest Wanapenda Kujisifia sanaToo Much khaaaa

Ila wengi wao kweli wamezidi sana hawana breki, kabila hilo wanawezana wenyewe kwa kutambiana.

Mimi nashangaa mbona wagita hawaongelewi kama wakurya. Natumaini ni watu wenye sifa fulani nzuri au?
 
Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.

Makabila mengi ya kanda ya ziwa ukiachilia wasukuma ni watu wanaopenda sifa sana, angalia wahaya nadhani kila mtu anawajua, wakara ni sawa na wahaya, sina haja ya kusema sana kuhusu hao watu wanajulikana.

Kuna wajita nadhani mnawajua kina waziri wa mambo ya Tanesco, njoo wakurya sina cha kusema sana wanajulikana kwa kupenda sifa za ajabu ajabu.

Kingine watu wa kanda ya ziwa waliosoma sayansi huwadharau sana ambao hawakusoma sayansi, hujiona wao ni smart sana kuliko wengine. Mfono kwa miaka mingi huko tarime na serengeti mtu alikua akisoma masomo ya sanaa anaonekana kama sio mwanaume, kwamba ni masomo ya watu wenye akili nyepesi na wanawake.

Kwa mawazo hayo ukiangalia wasomi wengi wa kanda hiyo hasa mara walisoma sayansi hasa PCM na wengi waliishia kua mafundi umeme, mambo ya madini na ujenzi. Hata sasa ukienda tanesco mafundi(technician)wengi wametokea huko na hata pale wizara ya madini mabosi wengi wa zamani wanatokea kanda ya ziwa.

Mantiki yangu ni kwamba mfano angalia mkuu wa kaya kwa akili hizo hizo anataka kujionyesha kua yeye ni smart sana kuliko watanzania wote na kwamba yuko makini kuliko kitu chochote, ndio maana anaweza kusema hapa sijaona mtu anaefaa au kwamba hawa nimetumia muda mwingi sana kuwachambua mwisho wa siku unakuja kusikia kuna mwingine alichaguliwa kimakosa.

Ndugu zangu wa maeneo mengine inabidi mtuelewe watu wa kanda ya ziwa tunapenda sifa sana na ni wabishi hakuna mfano ukiachilia mbali ndugu zetu wasukuma(kutoa chenge) ambao kila kitu ni ntoho shiida, ntoho taabhu.
So what thread uchwara
 
Ona sasa dhambi ya ukabila na ubaguzi inaanza kuwatafuna enyi kizazi cha Nyoka.
 
Kuna ubaguzi gani hapo?
Unawagawa watu kimakabila halafu unauliza kuna ubaguzi gani hapo?!!!!

Haya nijibu swali langu Lengo la hii thread yako ni nini hasa?

Siku nyingine ukiulizwa swali jaribu kujibu swali kwanza badala ya kuuliza swali juu ya swali....Ni hayo tu.
 
Nimekuuliza washamba kivipi hata hauelezei umebaki tu ni washamba halafu we ndio umesema ni maskini ndio maana nakuuliza huko kwenu kwani ni matajiri...?!

Wapi mada mada imezungumzia hawa watu ni washamba, nyie watu wa ajabu sana ndio maana mi nawachana tu...

Halafu povu bibi yako, kumbe unajua hakuna democracy endelea kuzungusha makalio sasa, hao washamba walishataka msaada wako kwani...?! Ngojea niwape punch tu nyie...
Ndio washamba kabisa hafu tuliza mshono kaoge umepanic si wewe uliyeanza kuingiza mambo yasiyo husika nikakujibu kulingana na pointless yako uloandika.
Naona umewashindwa kina fisadi mkuu wanihamishia kiranga mie na mitusi ya kishamba na kijima ka defense mechanism na huo huo nao ni ushamba mojawapo.
#PanicAtUaOwnRisk
 
Back
Top Bottom