Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Karibu shirati mkuu.. Tule Sato na Ugali wa mihogo mixer mtama..halafu wajaluo tukikutana usipozungumza kilugha na mwenzio ni kama umeamua kujiharibia hiyo siku..maana kila mtu atakudisi kwa namna anavyoweza.. Yaani utaonekana baradhuli haswaa na limbukeni wa halo ya juu.. Especially kama ulitoka village halafu unajifanya kusahau kilugha..
Mkuu mate yananidondoka tu hapa. Huo ugali naupenda sana kaka. Sema harakati za maisha zimenitenga mbali na huo ugali na samaki sato au sangara fresh toka majini.
 
w
Naona mnabaguana wenyewe kwa wenyewe halafu siku mkibaguliwa na muhindi au mu asia yeyote mje kulia lia humu eti wahindi wabaguzi..!!


Mleta mada lengo la kuanzisha hii thread labda ni nini hasa?
well said kwa kweli! kama wana majivuno waache wajivunie kwao, MTU KWAO!
 
Mimi mwenyewe ni wa huku nasapoti hawa WAHAY aka nshomile wajita wakurya duh hawa watu ni shida mhaya ana uwezo wa kujenga ghorofa kwa mdomo MJITA akibahatika kusoma ni shida hataki hata kuongea kikwao WAKURYA nao shida wanapenda sifa za kijinga kweli yaani kujifanya anajua kila kitu ni viherehere wanapenda sana kujipendekeza yangu ni hayo tu nikiwa kama mzaliwa wa kanda ziwa mwanza

Mwee mbavu zangu sina ... Nshomile anauwezo wa kujenga ghorofa kwa mdomo 😱😱....?! teh... ..teh...teh ...😀😀
 
Hivi mbona mnasema mkuu wa kaya ni mzinza na si msukuma ianakuwaje aimudu lugha ya kisukuma kuliko kizinza kwa sababu hata ukimsikiliza tu lafudhi yake ni kisukuma
kumudu lugha sio hoja, inategemea wakati wa makuzi yako ulikuwa unainteract na nani
 
Anayejua mkuu wa kaya ni kabila gani atuambie sio mnarukaruka tu mara ooo sio msukuma bali kazaliwa katikati ya wasukuma sasa huko chatu kuna wasukuma asilimia ngapi mpaka asijue lafudhi ya kabila lake
kwani kabila lake amekwambia ajui ?
 
Ila wasukuma washamba sana, na huwa hawajanjaruki hata wakae vp, mjini darisalama
 
Back
Top Bottom