Mtaendelea kubaki vivyo hivyo na kuzungusha mikono kwa ujinga wenu huo huo...Hafu walivo washamba na sifa za kijinga sasa yani huyo chenge ka mungu mtu hivi. Punguzeni sifa na ujuaji mwingi kumbe empty set
Unasikia toka wapi...?!Wakurya wana roho mbaya sanaaaaaaaaaaa masikia hao wanaume wao.
Haipendezi mrembo kama wewe kuwa na matusi namna hii,je siku ukifikishwa mlima meru si utamtukana hatamzazi wako au vipi?Hafu walivo washamba na sifa za kijinga sasa yani huyo chenge ka mungu mtu hivi. Punguzeni sifa na ujuaji mwingi kumbe empty set
We n Zombi kabisa, sasa unafikuri n mchaga.....?Kama hujui jambo uwe unauliza usijifanye kujua sana. Mkuu wa kaya ni msukuma toka lini? Kubisha jambo usilolijua ni dalili za ujinga.
Sio matusi mi nasema ukweli wamezidi sifa za kijinga mkuu kiukweli. Mlima Meru gani sasa mi siwezi tukana mzazi au yoyote bila sababu nitampa ukweliHaipendezi mrembo kama wewe kuwa na matusi namna hii,je siku ukifikishwa mlima meru si utamtukana hatamzazi wako au vipi?
Haahaaaaaa mkuu mbona waingiza yasiyohusika. Ni kweli washamba sanaMtaendelea kubaki vivyo hivyo na kuzungusha mikono kwa ujinga wenu huo huo...
Eti washamba nyie mna ujanja gani sasa...?!
We una ujanja gani na hayo meno yako...?!Haahaaaaaa mkuu mbona waingiza yasiyohusika. Ni kweli washamba sana
#mchezohuuhauhitajihasira
Hahaaaaa na ujanja mkubwa sana mkuu cna ushamba wowote punguzni ushamba na ujuaji wa kijinga.We una ujanja gani na hayo meno yako...?!
washamba kwenye nini...?!
Hii kitu hata mimi huwa na-doubt kama ni msukuma kweli!Kama hujui jambo uwe unauliza usijifanye kujua sana. Mkuu wa kaya ni msukuma toka lini? Kubisha jambo usilolijua ni dalili za ujinga.
Kwa jinsi mnavyoendelea na hayo mambo yenu, mtatoka kuzungusha mikono mtaanza kuzungusha kiuno na mtabaki hivyo hivyo tu...Hahaaaaa na ujanja mkubwa sana mkuu cna ushamba wowote punguzni ushamba na ujuaji wa kijinga.
#mchezohuuhauhitajihasira
Basi pole mamii.Sio matusi mi nasema ukweli wamezidi sifa za kijinga mkuu kiukweli. Mlima Meru gani sasa mi siwezi tukana mzazi au yoyote bila sababu nitampa ukweli
Eti eeeeh. Haya dada.Wakurya wana roho mbaya sanaaaaaaaaaaa masikia hao wanaume wao.
Wewe shoga nimekuuliza toka lini mkuu akawa msukuma hujajibu. Jibu kwanza hilo swali. Mambo ya kishoga peleka take one.We n Zombi kabisa, sasa unafikuri n mchaga.....?
Halafu usipoteze muda mwingi kufuatilia watu badala ya kufanya kazi.
Unasikia toka wapi...?!
Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.
Makabila mengi ya kanda ya ziwa ukiachilia wasukuma ni watu wanaopenda sifa sana, angalia wahaya nadhani kila mtu anawajua, wakara ni sawa na wahaya, sina haja ya kusema sana kuhusu hao watu wanajulikana.
Kuna wajita nadhani mnawajua kina waziri wa mambo ya Tanesco, njoo wakurya sina cha kusema sana wanajulikana kwa kupenda sifa za ajabu ajabu.
Kingine watu wa kanda ya ziwa waliosoma sayansi huwadharau sana ambao hawakusoma sayansi, hujiona wao ni smart sana kuliko wengine. Mfono kwa miaka mingi huko tarime na serengeti mtu alikua akisoma masomo ya sanaa anaonekana kama sio mwanaume, kwamba ni masomo ya watu wenye akili nyepesi na wanawake.
Kwa mawazo hayo ukiangalia wasomi wengi wa kanda hiyo hasa mara walisoma sayansi hasa PCM na wengi waliishia kua mafundi umeme, mambo ya madini na ujenzi. Hata sasa ukienda tanesco mafundi(technician)wengi wametokea huko na hata pale wizara ya madini mabosi wengi wa zamani wanatokea kanda ya ziwa.
Mantiki yangu ni kwamba mfano angalia mkuu wa kaya kwa akili hizo hizo anataka kujionyesha kua yeye ni smart sana kuliko watanzania wote na kwamba yuko makini kuliko kitu chochote, ndio maana anaweza kusema hapa sijaona mtu anaefaa au kwamba hawa nimetumia muda mwingi sana kuwachambua mwisho wa siku unakuja kusikia kuna mwingine alichaguliwa kimakosa.
Ndugu zangu wa maeneo mengine inabidi mtuelewe watu wa kanda ya ziwa tunapenda sifa sana na ni wabishi hakuna mfano ukiachilia mbali ndugu zetu wasukuma(kutoa chenge) ambao kila kitu ni ntoho shiida, ntoho taabhu.
Basi mkuu hebu achana na hii makitu ya KUPENDA SIFA MITU YA KANDA YA ZIWA,mimi nataka tufanye biashara ya PIMBI,nafahamu kanda ya ziwa ni mahali penye pimbi wengi sana,sasa basi hebu fuatilia maliasili taratibu za ku export pimbi hai kunitumia hapa Tenerife Spain,nahitaji takriban pimbi 5000 kwa ajili ya nyama(broilers guinea pigs),kwa maelezo zaidi nitaku PM procedure zote pamoja na vigezo na masharti kuhusu usafirishaji (C.I.F au F.O.B),kumbuka sharti langu nambari moja ni lazima uwe na elimu isiopungua kiwango cha degree.Unaweza kuuliza swali lolote linalohusu biashara hii,wadau wengine wenye kujiamini wanakaribishwa.Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.