Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Watu wa kanda ya ziwa na kupenda sifa

Wewe shoga nimekuuliza toka lini mkuu akawa msukuma hujajibu. Jibu kwanza hilo swali. Mambo ya kishoga peleka take one.
Kijana, usijifanye unajua mbele za watu usio wajua. Mm nnacho sema ninauhakika nacho pia chanzo cha karibu, pia MAGU najuana nae tangu akiwa mbinge 2009 huko kwao.
Ndo maana kikasema ikitaka post kitu fanya uchinguzi kwanza ndo post.

NINGEKUWA ADMIN NINGEIFUTA HII THREAD PAMOJA NA THREAD ZOTE AMBAZO NOSENSE.

JF HOME OF GREAT THINKERS sioo kubashiri bashiri
 
Nimesoma na Wahaya Secondary to be Honest Wanapenda Kujisifia sanaToo Much khaaaa
 
Kijana, usijifanye unajua mbele za watu usio wajua. Mm nnacho sema ninauhakika nacho pia chanzo cha karibu, pia MAGU najuana nae tangu akiwa mbinge 2009 huko kwao.
Ndo maana kikasema ikitaka post kitu fanya uchinguzi kwanza ndo post.

NINGEKUWA ADMIN NINGEIFUTA HII THREAD PAMOJA NA THREAD ZOTE AMBAZO NOSENSE.

JF HOME OF GREAT THINKERS sioo kubashiri bashiri
Kuna msemo wa wahenga wa kizamani unasema kuepuka matatizo ni kumheshimu mtu mpumb.avu(mtu ambae hajui na hajui kama hajui na hata akitaka kujuzwa kwa maksudi kabisa hataki na atafanya kila jitihata kutokujua.) Nami naomba niheshimu huo msemo wa wahenga.
 
Kwa jinsi mnavyoendelea na hayo mambo yenu, mtatoka kuzungusha mikono mtaanza kuzungusha kiuno na mtabaki hivyo hivyo tu...

Kumbuka huko unaposema kuna washamba ndio kuna idadi kubwa ya watu kuliko pote Tanzania...
Bora kuzungusha kiuno na mikono ni mazoezi muhimu ya viungo kuliko kuwa mshamba.
Kuwa na population kubwa ni umaskini tu na kuonyesha ni jinsi gani watu wasivo jua njia za uzazi wa mpango. Sasa ya nini kuzaliana kwa wing huku percent kubwa ni unproductive huko ni kuongeza umaskini tu
 
Kwani huko kwenu kuna utajiri gani...?! Au asilimia kubwa ya watu kuwa na meno ya gold...

Mtabaki kuimba mabadiliko huku mkizungusha hadi makalio, sana sana mabadiliko mtakayopata ni kutoka kuzungusha mikono mpaka kuzungusha makalio...

Hakuna mazoezi ya kuzungusha makalio, hao mnaosema washamba ndio wanauwezo wa kuamua rais awe nani...

Angalia idadi kubwa ya wapiga kura wapo wapi...?! Na sasa hivi hakuna sijui kina nani wamesoma sana, wote level wako moja tu, mtabaki kulia lia tu...
 
Mkuu mbona umepanic sana relax and take a chill pill umepanic kupita maelezo mada inazingumzia kanda ya ziwa unaleta sijui utajiri.
Hahaaa meno hata yangekuwa yellow or pink it doesn't matter mbona hata kanda ya ziwa wapo ukichangia na sura za kutisha ka zombie.
You dont need to panic relax, hafu cjui nani alikwambia kura huamua uraisi zaidi ya maigizo ño democracy in Africa.
Mabadiliko tutaimba sana tu lakini haibadilishi ukweli kuwa ni washamba hata utokeje povu na kujifarijii dunia hii usipokuwa aggressive kutafta opportunities upige hatua utabaki kulaumu tu wengine kwa chuki zisizo na msingi wowote.
 
It looks like everybody knows what (s)he knows! Did anybody learn anything?
 
Kuna jamaa wa ukanda huo,kule facebook aliandika"hivi kwa nini siku hizi kila siku majitu meengi yananiomba urafiki humu facebook,me nina wasiwasi nao yani leo majitu karibu 70 hadi nachoka,hii mimi sielewi,eti jamani hawa watu wanataka nini?" gues what,watu wengi(ambao marafiki tayari) hawakupenda ile kauli,wengi walisema wanatengua urafiki nae,kuna mmoja akasema "sishangai kwa mtu wa kanda ya ziwa" hata mimi sikushangaa maana namjua nimesoma nae najua mikato yake.na nimeiona comment yake humu akipinga hii hoja.
 
Naona mnabaguana wenyewe kwa wenyewe halafu siku mkibaguliwa na muhindi au mu asia yeyote mje kulia lia humu eti wahindi wabaguzi..!!

Mleta mada lengo la kuanzisha hii thread labda ni nini hasa?
 
Kwanza niweke wazi kua mimi ni mlake zone, nachokiandika hapa nakijua.

Makabila mengi ya kanda ya ziwa ukiachilia wasukuma ni watu wanaopenda sifa sana, angalia wahaya nadhani kila mtu anawajua, wakara ni sawa na wahaya, sina haja ya kusema sana kuhusu hao watu wanajulikana.

Kuna wajita nadhani mnawajua kina waziri wa mambo ya Tanesco, njoo wakurya sina cha kusema sana wanajulikana kwa kupenda sifa za ajabu ajabu.

Kingine watu wa kanda ya ziwa waliosoma sayansi huwadharau sana ambao hawakusoma sayansi, hujiona wao ni smart sana kuliko wengine. Mfono kwa miaka mingi huko tarime na serengeti mtu alikua akisoma masomo ya sanaa anaonekana kama sio mwanaume, kwamba ni masomo ya watu wenye akili nyepesi na wanawake.

Kwa mawazo hayo ukiangalia wasomi wengi wa kanda hiyo hasa mara walisoma sayansi hasa PCM na wengi waliishia kua mafundi umeme, mambo ya madini na ujenzi. Hata sasa ukienda tanesco mafundi(technician)wengi wametokea huko na hata pale wizara ya madini mabosi wengi wa zamani wanatokea kanda ya ziwa.

Mantiki yangu ni kwamba mfano angalia mkuu wa kaya kwa akili hizo hizo anataka kujionyesha kua yeye ni smart sana kuliko watanzania wote na kwamba yuko makini kuliko kitu chochote, ndio maana anaweza kusema hapa sijaona mtu anaefaa au kwamba hawa nimetumia muda mwingi sana kuwachambua mwisho wa siku unakuja kusikia kuna mwingine alichaguliwa kimakosa.

Ndugu zangu wa maeneo mengine inabidi mtuelewe watu wa kanda ya ziwa tunapenda sifa sana na ni wabishi hakuna mfano ukiachilia mbali ndugu zetu wasukuma(kutoa chenge) ambao kila kitu ni ntoho shiida, ntoho taabhu.
mbn wakerewe hatupo
 
Back
Top Bottom