Watu wa it anzisheni kitu kinaitwa -open class

tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
195
HABARI wakuu.......
Wataalamu wa maswala ya computer tafadhari jaribuni kuanzisha kitu kinaitwa IT-OPEN CLASS.
Hili liwe darasa la watu wanaopenda kujifunza maswala ya IT katika nyanja za mf, NETWORKING NA PROGRAMING.
Hili darasa lifunguliwe on line watu wawe wana-log-in na kuchagua kozi wanayatoka. Huduma hii iwe inalipiwa kwa mwezi- kwa kuzingatia hali zetu ,kisha iwe inatafutwa siku mfano jumapili kwa angalau saa 1 au 2 wanafunzi wakutane na mwalimu wao katika moja ya majengo ya shule za msingi hapa mjini(yanapatikana,mimi ni mdau eneo hili) wapate nafasi ya japo kuuliza maswali na kupewa angalau direct recture.
katika darasa hili pia iwepo mitihani ya kupima uelewa wa wanafunzi.

walengwa katika darasa hili-IT-OPEN CLASS ni watu tunaopenda/wanaopenda kujua maswala ya computer kwa matumizi binafsi and for fun japo wanaweza kujitafutia japo ajira binafsi au kuajiliwa sehemu flani flani ambazo vyeti si lazima(zipo).

WAKUU WA IT TUSAIDIENI KTK HILI. HAYA NI MAWAZO TU YANAWEZA KUWA HAYAPO KATIKA MTILILIKO MZURI MWENYE MTILILIKO MZURI PLZ WEKA HAPA HILI TUPATE MSAADA .
 

tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
195
ukiambiwa utoe hela kununua material utakubali? maana kumtoa nyasiro au stefano aache kazi zake za kila siku za maisha aandikie watu material then usimpe kitu haileti maana. wao wana familia vile vile na wanatamani kwenda beach na magari yao

usemacho ni kweli lakini soma vizuri maelezo yangu ,utagundua kuwa hili nilisha eleza. nashukuru kwa mchango wako chief tena na wewe ni mlengwa hapa shauriana na wenzio bwana mtusaidie.
 

tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
195
Wasisahau kutupa mitihani na vyeti tukifaulu

mkuu hii inakuwa inafata ule muundo unaitwa informal ,katka mfumo huu vyeti uwezi pata maana ni utaratibu usio rasmi. japo wanaweza kuvitengeneza ila vitakuwa havitambuliki mahala popote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom