Watu wa Dar ni washamba

Acha kujitetea wewe..
Research gani bongo? Nimeishi na kujiona kwa hiyo macho yangu na ya wengine ya nadanganya mpaka yawe verified na research uchwara?
 
Kuna ukweli kiasi kikubwa
 
Kwa hiyo ni mpaka rais aagize wasaidizi wake? Hao wasaidizi walikuwa hawaoni uchafu? Na mbona tumeongea sana hapa kwenye jukwaa. Rais ni leo anaona uchafu?
 
Kwa hiyo ni mpaka rais aagize wasaidizi wake? Hao wasaidizi walikuwa hawaoni uchafu? Na mbona tumeongea sana hapa kwenye jukwaa. Rais ni leo anaona uchafu?
Si kasema alikuwa anawabeba na ndio maana anawahamisha, na pengine hakai sana nchini ndio maana haoni
 
Wanaochafua jiji letu zuri ni nyie nyie waluga waluga wa Itigi,
Mzaramo afanye kazi ya nini wakati mshamjazia maghorofa kibao kazi yake kula ushuru tu, mnawaonea wivu
Wewe kabila gani kwanza?

Mzaramo na magorofa wapi na wapi?

Mimi sio wa itigi, usinifananishe na aina hiyo ya washamba. Mimi ni msukuma mjanja wa katoro..
 
Wewe kabila gani kwanza?

Mzaramo na magorofa wapi na wapi?

Mimi sio wa itigi, usinifananishe na aina hiyo ya washamba. Mimi ni msukuma mjanja wa katoro..
Hayo maghorofa yaliooteshwa Dar kwenye ardhi ya nani? washamba na wachafu ni nyie waluga luga mnakula ndizi au machungwa maganda mnatupa kwenye lami, mnatema tema mate hovyo, hamuogi mnanuka makwapa, jiji letu enzi hizo lilikua safi limestaarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…