Watu kazini

Watu kazini

Mambo kama hayo huwez kuyapata kwa watoto wa kishua hayo ni janja wooote wa uswaz na ndipo ukuaji unavyotaka na usipo pitia hiii michezo kuna hatari kubwa ya kuja kuirudia ukubwani
 
hahahaha! ukisikia hapa kazi tu, hii ndio kazi yenyewe.
 
attachment.php


Ama kweli fani zinaanzia mbali, huo ni mwanzo wa kujua watakuja kupenda kufanya kazi gani baadae.
mshana jr, tuwachangie basi hata camera moja mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom