watu hawana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu mitandaoni wanacomment kwenye Posts ambazo in reality watu hawana muda wa kusoma comments

    Wakati mwingine naona watu wanapoteza muda sana kwenye comment za post za watu maarufu. Unakuta post ina comments elfu 10 au zaidi lakini bado mtu anaandika comment kana kwamba mwenye page atasoma kila kitu. Ukweli ni kwamba kwenye pages kubwa hasa reels na viral posts asilimia kubwa ya...
  3. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Sema watoto wa sikuizi

    Hello Jf members👋 Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
  4. babajeska

    JamiiForums Tanzania Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

    Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu hawana muda na shida zako, usiposhtukia hilo utaishi kuwa mtumwa

    Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔 TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA 1. Jali afya yako kwa 100% 2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Siyo watu hawana pesa, sema sina pesa

    Unalalamika na kujifariji hapo hapo wenzio wanaagiza tu.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
Back
Top Bottom