Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

Mungu atunusuru View attachment 1943498

Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
Hiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa Zambia
 
Isoka ni zambia, uelekeo wa kwenda nakonde
Screenshot_20210918-222855.png
 
Hiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa Zambia
Walipasua mifuniko Gari ilikuwa imekwepa kugongana na Gari ya Zambia ya Contaner ndio ikaanguka
Hiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa Zambia
Dereva ni mtanzania na alijaribu kuwazuia lakini alipokea kipigo na askari walikuwepo na kama utaona picha walimloanisha na mafuta mwili mzima sijua anaendeleaje kwa sasa
 
Dah!

Yaani hapo angetokea mwehu mmoja tu wakala wa zamu wa shetani katika wizara yake ya vifo vya kujitakia akazalisha moto...😱😱
 
Angekuwepo teja wa kuchomoa betri ingekuwa story nyingine, ila pia siyo rahisi kutabiri akili ya mvuta bangi maana huwaga hawakosekani maeneo kama hayo.
 
Duuh aisee si ajabu hapo wengine wanaenda kuchukua tu hata hawajui watayauzaje, watayafanyia nini. Basi tu kuona watu wanachota nae anaunga tela.
 
Back
Top Bottom