Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,726
- 5,668
Ha ha ha,kabisa itakua ni watu wao,mbona waliwaacha baada ya kuwapiga picha
wangewakamata kipindi wanawapiga picha.
wangewakamata kipindi wanawapiga picha.
Hivi hili jeshi la polisi intelijensia yao iko wapi? Kila kitu wanategemea taarifa kutoka kwa wananchi. Wao kazi yao nini hasa? Aarghhhhhh!! Pinda
Hivi hiki kituo cha polisi kilichopo "Caribu" kiko maeneo gani?Wataje dau kabisa ili nikimlengesha niwe na uhakika napata milioni ngapi, mambo ya kwenda ku negotiate tena hayatakiwi.
Btw huyo msemaji wa jeshi la polisi anayejiita Advera Senso sijui kwanini simpendi, analeta mapozi kwenye kazi zinazohitaji umakini mkubwa.
View attachment 100305
View attachment 100306
Na huyo Dada pia yumo,
Swali ninalojiuliza hadi umepata picha nzuri ambayo inaonyesha mtu aliandaliwa akapigwa picha nzuri kabisa jina lilishindikanaje kupatikana? Intelijensia ya polisi mbona hampo acurate?
Picha wakati mwingine wanazikuta wanapopekua nyumba....don't come with simple mind ...this is JF bana...Hahahahahaaaaaaaaaaaaa, umemaliza mkuu. Yaani picha wawapige wao, then taarifa tutoe sie haya sasa majanga!
Jakandaria La Ujambazi na Muhammed Ally...KTNTV
ingekuwa vizuri, tungejua Uharifu na matukio mbalimbali wanayotuhumiwa kufanya
Picha wakati mwingine wanazikuta wanapopekua nyumba....don't come with simple mind ...this is JF bana...
View attachment 100305
View attachment 100306
Na huyo Dada pia yumo,
Swali ninalojiuliza hadi umepata picha nzuri ambayo inaonyesha mtu aliandaliwa akapigwa picha nzuri kabisa jina lilishindikanaje kupatikana? Intelijensia ya polisi mbona hampo acurate?