usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,725
- 1,194
Kwa jinsi nilivyopoteza imani na jeshi la polisi ,sijui nisemeje.Unaweza kuta hawa ni wafuasi wa CDM,sasa tunaandaliwa kisaikolojia kwamba wanatafutwa watu hatari.Kisha baadae mnaambiwa CDM ndio wamekua wakihusika na matukio yote.
Sijaelewa pia kwanini hatujaambiwa majina yao.
Ila huyu mwanamke anaonekana kabisa kuwa ni zaidi ya hatari lakini pia mbona hii picha inaonyesha kama yupo selo vile
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums