Watu ambao wamefunga ndoa baada ya kukutana Jamii forums

Tutakuwa kama makinda ya ndege yanapojifunza kuruka, kuanguka kila wakati ila kwa sisi yataacha makovu mwili mzima. Ukiuliza Honey Faith hapo kwenye paji la uso umefanya nini mbona pamevimba hivyo, "Nimeamka na kukuta pamevimba" kumbe unaficha ukweli kwamba ulikuwa kwenye zoezi la kujifunza kupaa.

Inabidi tuanze kujifunza kwanza
 
Tutakuwa kama makinda ya ndege yanapojifunza kuruka, kuanguka kila wakati ila kwa sisi yataacha makovu mwili mzima. Ukiuliza Honey Faith hapo kwenye paji la uso umefanya nini mbona pamevimba hivyo, "Nimeamka na kukuta pamevimba" kumbe unaficha ukweli kwamba ulikuwa kwenye zoezi la kujifunza kupaa.

Hahahaha kupaa tuwaachie wanaoweza kupaa mie kwanza naona ni mambo ya kichawi chawi tu.Kwanza ile thread hata sitaki kuisoma kabisaa maana wanaogopesha sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni ya kichawi kabisaaaa. Mungu angetaka kutupa wanadamu uwezo wa kupaa angefanya hivyo. Huku kupaa kichawi chawi tuwaachie wenye utaalamu wao.

Hahahaha mie hadi kuna ids nimeanza kuziogopa kwa mambo yao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK na Honey Faith mmeharibu mantiki nzima ya uzi. Jamani ndio maana kuna jukwaa la chitchat kule kwa mambo kama hayo.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mleta mada single sasa ametokewa au anatokea mtu huku ndani sasa anataka experience?
 
Mbona mm sikualikwa?au hizo ndoa zilifungiwa juu ya ndege
 
Back
Top Bottom