C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
Kuna siku nilishawahi kumsikia Mike Mushi kwenye mkasi aliposema kuwa alishawahi attends harusi kibao tu za watu ambao wamekutania humu JF
thats nice mie leo wakuu nilikuwa nataka kujua list ya watu ambao wameoana humu JF sio kwa ubaya ila tu waje wa share experience zao zilikuwaje na maisha yanaendaje
kwani JF ni something ambayo inaweza transform maisha ya mtu kutoka point moja kwenda nyingine so waki share na sie itakuwa ni jambo litakalopendwa na watu wengi i think
(NA WAKITUPIA VIPICHA ITAKUWA VIZURI PIA)
pia watuambie walikutana kutana vipi ilikuwaje wakaingia kwenye mahusianio
pia wale ambao walishawahi ku date humu pia ruksa kutupa experience zao ilikuwaje?
je mna mipango yoyote na mate wako??
au mmeshaachana?
kama mmeachana tatizo lilikuwa ni nini?
something like that