watu 200 wamepokea hii text

Wewe mtumwa zomba kimbia pale Lumumba road ukapokee chako mtumwa mkubwa wewe!

Wale-wale, roho zinawauma mkiona mambo yakwenda vizuuuuri, ushaona mkutano wa magwanda unavyokuwa? kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Amebakiza nchi chache duniani kutembelea kama Korea Kas, Iraq, Afghastan
sijui kama anaielewa jiogorafia ya dunia vizuri lakini kuna na nchi inaitwa Mongolia pia hajaenda. Labda ataenda akistaafu
 
Donge la nini? Huwezi kutembea nchi zote hizo kwa hela zako, acheni jamaa ainjoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…