watu 200 wamepokea hii text

Tatizo hao wa kwenu hata kuzika hawaendi ndio maana
hawaoni umuhimu wa safari.

Yakhe,kwanini nguvu ulizotumia hukutumia kumjibu mdau ?badala ya kumshambulia yeye na wenzake ambao hawahusiki!!
 
Ina maana nyie hamfuatilii?
Mbon alishasema kuwa ni lazima atembeze Bakuli ili wanae tusife njaa?
Hata Majuzi Makufuli naye alimuhimiza azidishe safari ili tupate Mabarabara nchi nzima?
Au umbeya tu umewashika?
 
jamaa kama posho kapiga za kutosha...naomba Mungu asipate ajali ya ndege
 
Heshimakwako kikwete safari zako zimezaa matunda na tunayaona.....
 
Huoni barabara hizo na UDOM? Halafu Msata hujaenda kuona ikulu ya baada ya kustaafu na pale Estate KMoroko hujaona (kwa uchache)? Nenda Dubai na kwa Madiba utaona faida ya safari hizo. Ridhi one atakuonyesha faida aliyoipata moja kwa moja pia.
 
Mmh!...safari 900?...siku 1460?...na hapo safari nyingi sio za siku moja...something does not add up..u r taking us for a ride mzee.
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
acha kuharibu jina la watu wewe
The lady is HILARY ( a christian UNISEX NAME) and not HILAL ( MOSLEM MALE NAME)
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Cheo chake kwa mambo ya nje ya nchi kina kauhalali fulani kwenda safari nyingi, hata kama hiyo 900 yaweza kuwa imeongezwa chumvi
 
Tatizo katokea kwenye jamii ya watembezi wanaoziacha familia hata wiki kisa shughuli.

Sio kosa lake anadumisha mila na desturi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…