Watu 10 wenye historia na mchango mkubwa duniani

Historia haikuweki wala kukutambua kuwa na akili sana kwa wingi wa maswali uliyojibu kwenye darsa la hesabu. Albert Einstein alifukuzwa darasani mara nyingi sana sababu mwalimu wake alidhani kuwa ni kichaa.. Newton alionekana ana matatizo ya kujifunza, na walimu wakampeleka kwenye shule maalum. Hata muigizaji maarufu Holliwood Tom Cruise, alionekana hana uwezo wa kujifunza vizuri darasani. Watu wote hawa bado waliweza kufanya mambo makubwa hadi wakaweka alama zao kwenye uso wa dunia.

Ugunduzi wa kisayansi umesaidia dunai kuwa hapa ilipo leo hii, ukianzia kwa kina Newton hadi kina Einstein na wengine kibao.

Hii hapa orodha ya watu 10 ambao historia zao zimeleta mchango mkubwa sana dunaini hadi kesho.

[https://4]

10. ALEXANDER THE GREAT

Alikua kijana mdogo alipewa madaraka ya kuingoza nchi ya Macedonia, na baba yake akiwa na miaka 16, aliweza kuongoza na kutawala nchi nyingi za bara la Asia. Alionekana mwenye akili na utashi wa uongozi kwa kuiwezesha Macedonia kuitawala alipopewa madaraka na baba yake. Alexander alifariki kwa kuumwa malaria.

[https://4]

9. MICHEL ANGELO

Tofauti kati ya kazi ya sanaa ya Michel Angelo na Da Vinci, imeikita kwenye mitindo mbalimbali ya usanii wao wa uchoraji. Japo wote hawa ni wasanii wakubwa na wana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya uchoraji. Michel Angelo aliwahi kuwa mchoraji mkubwa na alikua akichora sana kwenye siling board.

[https://2]

8. THOMAS EDISON

Mgunduzi wa wa bulbu ya umeme, alikua akifanya kazi zake na Nicolas Tesla, japo mwisho wa kazi bulbu zilikua mali yake. Edison ni mtu ambaye inabidi umshukuru sana kila ukiwasha taa (bulbu).

[https://1]

7. LEONARDO DA VINCI

Ukiwa una muongelea Leonardo, unaweza kujiuliza sana maswali juu yake, je alikua mtu gani, msanii, wanasayansi , Mwanamitindo, mchambuzi, ama mchoraji ?. Jibu linabaki kuwa Leonardo alikuwa anauwezo wa kufanya yote hayo. Mchoro wake maarufu ulikua ule wa Mona Lisa, Pia yeye ndio alichora mchoro wa helkopta/ndege kwa mara ya kwanza.

[https://4]

6. WILLIAM SHAKESPEARE

Binadamu alikua amejaliwa vipaji vingi sana,. Shakespeare ni miongoni mwa watu waliokua na mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa sanaa ya uandishi. Aliweza kuandika vitabu ama tamshilia 36, Shakespeare ni miongoni mwa waandishi wakubwa waliowahi kutokea duniani.Uwezo wake wa kufikiria kwa mitazamo tofauti tofauti, ndio umempa nafasi hiyo ya kuwa Shakespeare.

[https://1]

5. ADOLF HITLER

Unaweza kujiuliza kwanini maefanikiwa kuingia kwenye orodha ya watu 10 mashuhuri zaidi duniani. Adolf Hitler ndio mwanaume peke yake ndio anahusika kwa vifo vya mamilioni ya watu duniani. Kwa kuanzisha chama cha Nazism nchini ujerumani, aliwaongopea dunaini nzima, kwamba alikua sahihi na mitazamo yake, ndipo alipoanza uuwaji wa watu wenye asili ya Israeli. Adolf Hitler alikua na asili ya Israel kwani baba yake alikua na asili ya Israeli, baadae baba yake aliwatenga yeye na mama yake. Hii ni kauli yake maarufu zaidi duniani.

“Sikuua waisraeli wote, ili watu waje wajue kwanini nilikua nawauwa !”

[https://2]

4. GALILEO GALILEI

Mwanadamu ambaye alitupa uwezo wa kuona juu ya anga kwa kutumia Darubini/Hadubini, ambayo iliwapa watu uwezo wa kugundua uzuri na siri za anga. Ugunduzi huu wa Galileo, umeweza kusaidia sana mambo mbalimbali kuanzia maendeleo ya jeshini, na hata wana anga, kama NASA, ambao bila ugunduzi wa Galileo pengine kusingekua na NASA

[https://4]

3. STEPHEN HAWKING

Ni mtu alikuja kufanya kazi ama kumalizia kazi za Einstein kwani aliweza kuzifanyia utafiti kauli, na mitazamo pamoja na mawazo na kuifanya kuwa kweli. Einstein alikua anatoa mawazo mengi sana ambayo akili ya kawaida ilikua haiwezi kuyafikiria. Stephen alisahihisha na kuweka usawa kuwa kipingamizi kikubwa ni akili ya mwanadamu mwenyewe, na sio uwezekano, hivyo akili ndio inayoizuia kukubali ukweli na kuendelea kukaa nyuma.

[https://1]

2. ISAAC NEWTON

Mtaalamu wa hisabati na sheria za kisayansi, Isaac ameweka usawa kwenye somo la fizikia, ambayo hutumia kila siku. Mawazo ya Isaac ambayo hueleweka hata kwa watu wa kawaida. Kwenye sheria nyingi za sayansi ama mvutano. Lakini Isaac ndiye ametupa sheria za uvutano na mwendo duniani /Laws of Motion and Gravity.

[https://4]

1. ALBERT EINSTEIN

Inawezekana wote tunamjua Albert Einstein ni mmoja wa watu waliokua na akili sana kuwahi kutokea duniani. Inasemeka kuwa akili ya Albert ilikua inafanya kazi mara 4 zaidi ya akili za watu wa kawaida. Albert Einstein ni miongoni mwa wanasayansi wanaofahamika sana na wenye mchango mkubwa sana kwa karne ya 20. Jina la Einstein limebeba utambulisho wa pekee, hata mtu anayeitwa jina la Einstein huwa ana aminika kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili, tena na ubunifu mkubwa usioisha.

Najua wengi wataulizia kuhusu mtaalam Nikola Tesla ambaye pia anamchango mkubwa katika sayansi ya sasa ya ulimwengu lakini hata Mimi nashangaa kwanini ana kosekana kwenye listi kama hizi nahisi ni labda ya kutokutambulika sana na watu au zitakuwa ni fitna za wamarekani tuu ili kumuinua mtu wao Thomas Edison ambaye alikuwa ana competition kubwa na huyu Nikola Tesla kipindi hicho. hayo ni maoni yangu tuu

Nawasilisha

SOURCE:--Mtandaoni.
Orodha inabadilika kufuatana na mtazamo wa mtu. Kwa mfano ulipotaja Alexander the Great, ningetegemea pia umtaje Hannibal. Huyu alitokea Afrika ya Kaskazini akaenda kupambana na dola la Kirumi, ambalo ndilo lilikuwa likiutawala ulimwengu wa zama hizo. Uingereza nayo ilitawaliwa na Warumi ingawa nayo ikaibuka baadaye na kuanza kutawala mataifa mengine baada ya Dola la Kirumi kuanguka. Hannibal aliongoza vikosi vyake vya askari wa miguu (wakiwa na mishale na ngao); askari wapanda farasi; na kikosi cha tatu cha askari wapanda tembo. Huo ndio ulikuwa upiganaji wa wakati huo. Tembo wengi wa Hannibal wakafa kwa baridi ya winter na askari wa Hannibal wakafa moyo sana. Lakini bado akaendelea mpaka akafika Roma. Wakati mmoja walikuwa wavuke mto. Akatengeneza 'rafts' kwa kuunganisha magogo na kuwapandisha tembo wake. Tembo wakaonyesha wasiwasi kupanda hizo 'rafts'. Hivyo akawafunga macho kwa vitambaa (blindfold) na hapo ndipo akaweza kuwapitisha hao tembo 200 waliokuwa wamebakia. Alifaulu kufika Roma ingawa alishindwa kuuteka mji. Hapa tunazungumzia Mwafrika aliyekwenda ku-challenge 'taifa' lililokuwa likitawala ulimwengu!

Watu wengine wanaostahili kutajwa ni Karl Marx na Vladimir Lenin. Falsafa ya Marxism ambayo ilkuja kutekelezwa na Lenin mwaka 1917 iligeuza siasa za ulimwengu mpaka leo hii. Bila hao wawili siasa za ulimwengu zingekuwa tofauti kabisa leo hii.

Mwisho, tumtaje pia Pilato ambaye alitoa idhini Yesu auawe. Kama angekomalia uamuzi wake kwamba haoni kosa la kumfanya Yesu afe, labda leo hii kusingekuwa na Ukristu.
 
N
Historia haikuweki wala kukutambua kuwa na akili sana kwa wingi wa maswali uliyojibu kwenye darsa la hesabu. Albert Einstein alifukuzwa darasani mara nyingi sana sababu mwalimu wake alidhani kuwa ni kichaa.. Newton alionekana ana matatizo ya kujifunza, na walimu wakampeleka kwenye shule maalum. Hata muigizaji maarufu Holliwood Tom Cruise, alionekana hana uwezo wa kujifunza vizuri darasani. Watu wote hawa bado waliweza kufanya mambo makubwa hadi wakaweka alama zao kwenye uso wa dunia.

Ugunduzi wa kisayansi umesaidia dunai kuwa hapa ilipo leo hii, ukianzia kwa kina Newton hadi kina Einstein na wengine kibao.

Hii hapa orodha ya watu 10 ambao historia zao zimeleta mchango mkubwa sana dunaini hadi kesho.

[https://4]

10. ALEXANDER THE GREAT

Alikua kijana mdogo alipewa madaraka ya kuingoza nchi ya Macedonia, na baba yake akiwa na miaka 16, aliweza kuongoza na kutawala nchi nyingi za bara la Asia. Alionekana mwenye akili na utashi wa uongozi kwa kuiwezesha Macedonia kuitawala alipopewa madaraka na baba yake. Alexander alifariki kwa kuumwa malaria.

[https://4]

9. MICHEL ANGELO

Tofauti kati ya kazi ya sanaa ya Michel Angelo na Da Vinci, imeikita kwenye mitindo mbalimbali ya usanii wao wa uchoraji. Japo wote hawa ni wasanii wakubwa na wana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya uchoraji. Michel Angelo aliwahi kuwa mchoraji mkubwa na alikua akichora sana kwenye siling board.

[https://2]

8. THOMAS EDISON

Mgunduzi wa wa bulbu ya umeme, alikua akifanya kazi zake na Nicolas Tesla, japo mwisho wa kazi bulbu zilikua mali yake. Edison ni mtu ambaye inabidi umshukuru sana kila ukiwasha taa (bulbu).

[https://1]

7. LEONARDO DA VINCI

Ukiwa una muongelea Leonardo, unaweza kujiuliza sana maswali juu yake, je alikua mtu gani, msanii, wanasayansi , Mwanamitindo, mchambuzi, ama mchoraji ?. Jibu linabaki kuwa Leonardo alikuwa anauwezo wa kufanya yote hayo. Mchoro wake maarufu ulikua ule wa Mona Lisa, Pia yeye ndio alichora mchoro wa helkopta/ndege kwa mara ya kwanza.

[https://4]

6. WILLIAM SHAKESPEARE

Binadamu alikua amejaliwa vipaji vingi sana,. Shakespeare ni miongoni mwa watu waliokua na mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa sanaa ya uandishi. Aliweza kuandika vitabu ama tamshilia 36, Shakespeare ni miongoni mwa waandishi wakubwa waliowahi kutokea duniani.Uwezo wake wa kufikiria kwa mitazamo tofauti tofauti, ndio umempa nafasi hiyo ya kuwa Shakespeare.

[https://1]

5. ADOLF HITLER

Unaweza kujiuliza kwanini maefanikiwa kuingia kwenye orodha ya watu 10 mashuhuri zaidi duniani. Adolf Hitler ndio mwanaume peke yake ndio anahusika kwa vifo vya mamilioni ya watu duniani. Kwa kuanzisha chama cha Nazism nchini ujerumani, aliwaongopea dunaini nzima, kwamba alikua sahihi na mitazamo yake, ndipo alipoanza uuwaji wa watu wenye asili ya Israeli. Adolf Hitler alikua na asili ya Israel kwani baba yake alikua na asili ya Israeli, baadae baba yake aliwatenga yeye na mama yake. Hii ni kauli yake maarufu zaidi duniani.

“Sikuua waisraeli wote, ili watu waje wajue kwanini nilikua nawauwa !”

[https://2]

4. GALILEO GALILEI

Mwanadamu ambaye alitupa uwezo wa kuona juu ya anga kwa kutumia Darubini/Hadubini, ambayo iliwapa watu uwezo wa kugundua uzuri na siri za anga. Ugunduzi huu wa Galileo, umeweza kusaidia sana mambo mbalimbali kuanzia maendeleo ya jeshini, na hata wana anga, kama NASA, ambao bila ugunduzi wa Galileo pengine kusingekua na NASA

[https://4]

3. STEPHEN HAWKING

Ni mtu alikuja kufanya kazi ama kumalizia kazi za Einstein kwani aliweza kuzifanyia utafiti kauli, na mitazamo pamoja na mawazo na kuifanya kuwa kweli. Einstein alikua anatoa mawazo mengi sana ambayo akili ya kawaida ilikua haiwezi kuyafikiria. Stephen alisahihisha na kuweka usawa kuwa kipingamizi kikubwa ni akili ya mwanadamu mwenyewe, na sio uwezekano, hivyo akili ndio inayoizuia kukubali ukweli na kuendelea kukaa nyuma.

[https://1]

2. ISAAC NEWTON

Mtaalamu wa hisabati na sheria za kisayansi, Isaac ameweka usawa kwenye somo la fizikia, ambayo hutumia kila siku. Mawazo ya Isaac ambayo hueleweka hata kwa watu wa kawaida. Kwenye sheria nyingi za sayansi ama mvutano. Lakini Isaac ndiye ametupa sheria za uvutano na mwendo duniani /Laws of Motion and Gravity.

[https://4]

1. ALBERT EINSTEIN

Inawezekana wote tunamjua Albert Einstein ni mmoja wa watu waliokua na akili sana kuwahi kutokea duniani. Inasemeka kuwa akili ya Albert ilikua inafanya kazi mara 4 zaidi ya akili za watu wa kawaida. Albert Einstein ni miongoni mwa wanasayansi wanaofahamika sana na wenye mchango mkubwa sana kwa karne ya 20. Jina la Einstein limebeba utambulisho wa pekee, hata mtu anayeitwa jina la Einstein huwa ana aminika kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili, tena na ubunifu mkubwa usioisha.

Najua wengi wataulizia kuhusu mtaalam Nikola Tesla ambaye pia anamchango mkubwa katika sayansi ya sasa ya ulimwengu lakini hata Mimi nashangaa kwanini ana kosekana kwenye listi kama hizi nahisi ni labda ya kutokutambulika sana na watu au zitakuwa ni fitna za wamarekani tuu ili kumuinua mtu wao Thomas Edison ambaye alikuwa ana competition kubwa na huyu Nikola Tesla kipindi hicho..hayo ni maoni yangu tuu

Nawasilisha

SOURCE:--Mtandaoni.
Number one ni Yesu Kristo,akifanya kazi kubwa ya kuokoa ulimwengu,na sasa anaandaa makao mbinguni kwa wote wanaomwamini.
 
Kitu kingine cha muhimu unachopaswa kujua mkuu ni kwamba

" since matter and energy zinaweza ku inter change each other , hii inamaanisha kwamba it is possible to transport each and everythin in the universe as electromagnetic wave, ila sasa kuconvert matter into energy it needs to be accerelated to attain the speed of light . This is the main difficultness of this new technology , kama sisi wanasayansi tutaweza ku achieve hii technology

Basi the world is going to be very sophticated !

Ani very sophticated mkuu wangu !

#mimi ni miongoni mwa scientist wachache wanaoamini katika existence ya sir God

Cc😡mwifwa
Baba Swalehe uko vizuri aisee kwenye hiyo mambo
 
" since matter and energy zinaweza ku inter change each other , hii inamaanisha kwamba it is possible to transport each and everythin in the universe as electromagnetic wave, ila sasa kuconvert matter into energy it needs to be accerelated to attain the speed of light .

#mimi ni miongoni mwa scientist wachache wanaoamini katika existence ya sir God

Cc😡mwifwa
Tesla;
Assuming tuna technology sophisticated enough kiasi kwamba conversion ya matter into energy is now possible. Kwa maana nyingine ni kwamba it is now possible for everything to be accelerated to a speed high enogh equal to that of light. Now if we move let's say object X from point A to point B by acclerating it to a speed of light, only part of it will be converted iinto energy kiasi kwamba by the time object X inafika point of destination, yaani point B itakuwa imeshakuwa object X' with mass less than that of original object X. Sasa swali langu linakuja, tutafanyaje kufidia mass iliyopotea ya object X ili kusudi tuweze kupata object X at point B na si object X' iliyo na masss pungufu? Kwa maana nyingine ni kwamba upon object X' reaching point B, tutafanyaje (siyo tutawezaje) ku-regain ile mass iliyopotea? Tutafanyaje (siyo tutawezaje) ku-convert energy back into matter again, kufidia the lost mass of object X in the process?
 
Tunapomuongelea Adolf Hitler tusiwe tunaishia kuongelea mauaji tu tukumbuke pia ndo yuko nyuma ya mafanikio ya kampuni kubwa ya magari ya VW wamiliki pia wa Porsche, Audi, Bentley, Bugatti, Lamborghini, SEAT, SCODA na mengine kibao ila pia ndo yuko nyuma ya long range missiles na ballistic missiles(V1 na V2) zikaja kutuletea tech ya rockets na kupitia hizo leo tunaweza kuexplore anga letu.
Alikosea kuwaua wayahudi kama ambavyo binadamu yeyote alivo mkosefu so tumuombee huko aliko apunguziwe adhabu. Amina
 
Sisis waafrika ndo hatuma muda wa kugundua na kuingia kwenye rekords? Nitashanga km magufuli mgunduzi wa sampuli za mapapai hataingia kwa kupima sampuli za kondoo???!!!!!
 
Mbona Elon Musk simuoni kwenye list yako...?
 
Mkuu sijajua Kama utaiadjust vipi hiyo orodha yako lakini unaposema watu walio acha alama kwenye hii dunia kuna watu wawili ambao wanafiti sehemu zote.

SEHEMU YA KWANZA
Katika maisha yao ya kila siku hasa jinsi walivyoamiliana na watu waliowazunguka nao ni

1. MUHAMMAD IBN ABDILLAH IBN ABDUL MUTWALIB

2. ISSA IBN MARIAM (YESU WA NAZARETI)

SEHEMU YA PILI
Ni wao kuwa wajumbe wa kiimani (Mitume wa Mwenyezi Mungu)

1. Mohammad Ibn Abdillah Ibn Abdul Mutwalib

Muarab huyu toka katika kabila dogo la Waquraish pale Makka ameacha athari zitakazo ambatana nasi hadi mwisho wa dunia hii

Athari alizoziacha
1. Ametuachia Muongozo Qur'an na Hadith (sunna) ambazo mwanaadam yeyote akizifuata naye atakua bora katika viumbe.

2. Ametuachia Sheria nyingi sana ikiwemo Sheria za
A. Wanyama
B. Mazingira
C. Miti
D. Vita
E. Malezi
F. Mahusiano kati ya mtu na mtu, mtu mmoja na kundi, kati ya kundi na kundi, kati ya jirani na jirani, bara moja na jengine, rangi moja na nyingine
G. Wanandoa
H. Mtoto kwa Wazazi wake, Wazazi kwa mtoto, mtoto kwa Mama take
I. Ulaji
J. Ulalaji na uamkaji
K. Afya nk

3. Amekua mwanaadam wa kwanza kutoa tafsiri ya kimatendo juu ya tabia njema (akhlaq) kabla ya utume na baada ya utume.

ISSA IBN MARIAM (YESU MNAZARET)
Amewafunza wanaadam juu ya Mambo mawili makubwa ambayo nu msingi wa utu nayo ni;

UPENDO NA UNYENYEKEVU.

NB
Naomba usije ukaniambia habari za hawa wanamahusiano na Mungu kwakua hakuna asiye na mahusiano na Mungu, aidha usije ukasema naleta udini kwani hao walianza kuwa watu (kuzaliwa na mwanamke) na ndipo mengine yakifuata.
 
Edison ame patent vitu vingi ila kiujanja ujanja, Alikuwa Mfanyabiashara ambae ali collect brain za watu wenye akili na kuwafungia ndani wagundue vitu ambapo mwisho wa siku hati miliki anapewa yeye Hata Tesla wakati ame drop out University alipita kwenye mikono ya Thomas Edison ila aliona no future apo akasepa, Tesla is true genious and very talented Guy Tukisema neno Radio yani mpaka kina Alexander Gulam Bell wanakuja kufanya encoding ya kurusha mesage za "Hello" Kupitia Radio waves basi N.Tesla ndo Mgunduzi wa Mawimbi ya Radio

japo Aliekuja kupewa patent ya kugundua radio ni macroni, Kazi za tesla ni nyingi sana haswa sisi tuliopo kwenye field ya umeme ndo tunaona mchango wa huyu jamaa mpaka leo technology yake inaishi mfano Umeme unasafirishwa kwa AC system na mtu wa kwanza kugenerate polyphase generator (Three phases) was Tesla na mpaka leo ni ivo ivo iyo tech ndo tunaitumia Kwenye transmission japo ali compete sana na Edison mana Hati miliki za DC ziko chini ya Edson na Edi alitengeneza mpaka Electrical chair cha kuulia wafungwa wa kunyongwa cha AC ili kuonesha kwamba AC haifai kutumika lakini all in all kwenye tech hakuna Siasa ni Either Safety and economic view.

Up to date AC ndio inatumika kwenye transmission line, Tesla alikuja kutaka kugombana na Financier wake mkubwa JP morgan baada ya kutaka kusafirisha umeme wirelessly kuna mnara uko Manhattan aliuacha uko JP walimzuia kwa vile biashara ya conductors ingekosa market lakini ilo wazo pia mpaka leo halijawa implemented liko unrealistic sana kwa high voltage, Tesla hakuwai kuzaa wala kuwa na Mwanamke ila pia alifia hotel na watu wa mwazo kumfikia baada ya kufa waliondoka na papers nyingi sana ambazo ina aminika zilikuwa na vitu vingi sana na hizo pepa zilipelekwa Jeshini uko

Kwa heshima kubwa kabisa Mwaka 1960s Wanasayansi waliona mchango mkubwa kabisa wa Mserbia huyu ambae tayari alikuwa ni Raia wa marekani by registration wakaanza kumuenzi na moja ya Vitu walivyo fanya ni Kukipa kizio SI Unit cha Flux density ambacho ni Webber/Meter Square na kwa sasa kikawa kinatambulika kama Tesla ivo SI unit ya Flux density ni Tesla, Waliopiga Electromagnetism nadhani wameona mchango mkubwa wa Tesla japo Michael faraday naye ame dorminate upande huo ila Faraday Amekuwa promoted sana kwa vile alikuwa Muingereza
Ila pia kuna statues na monuments nyingi zimejengwa kama kumbukumbu ya kumuenzi baadhi ya sites hizo ni Niagara hydropower Canada, New york na Nikola Tesla Airport Serbia
 
Historia haikuweki wala kukutambua kuwa na akili sana kwa wingi wa maswali uliyojibu kwenye darsa la hesabu. Albert Einstein alifukuzwa darasani mara nyingi sana sababu mwalimu wake alidhani kuwa ni kichaa.. Newton alionekana ana matatizo ya kujifunza, na walimu wakampeleka kwenye shule maalum. Hata muigizaji maarufu Holliwood Tom Cruise, alionekana hana uwezo wa kujifunza vizuri darasani. Watu wote hawa bado waliweza kufanya mambo makubwa hadi wakaweka alama zao kwenye uso wa dunia.

Ugunduzi wa kisayansi umesaidia dunai kuwa hapa ilipo leo hii, ukianzia kwa kina Newton hadi kina Einstein na wengine kibao.

Hii hapa orodha ya watu 10 ambao historia zao zimeleta mchango mkubwa sana dunaini hadi kesho.

[https://4]

10. ALEXANDER THE GREAT

Alikua kijana mdogo alipewa madaraka ya kuingoza nchi ya Macedonia, na baba yake akiwa na miaka 16, aliweza kuongoza na kutawala nchi nyingi za bara la Asia. Alionekana mwenye akili na utashi wa uongozi kwa kuiwezesha Macedonia kuitawala alipopewa madaraka na baba yake. Alexander alifariki kwa kuumwa malaria.

[https://4]

9. MICHEL ANGELO

Tofauti kati ya kazi ya sanaa ya Michel Angelo na Da Vinci, imeikita kwenye mitindo mbalimbali ya usanii wao wa uchoraji. Japo wote hawa ni wasanii wakubwa na wana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya uchoraji. Michel Angelo aliwahi kuwa mchoraji mkubwa na alikua akichora sana kwenye siling board.

[https://2]

8. THOMAS EDISON

Mgunduzi wa wa bulbu ya umeme, alikua akifanya kazi zake na Nicolas Tesla, japo mwisho wa kazi bulbu zilikua mali yake. Edison ni mtu ambaye inabidi umshukuru sana kila ukiwasha taa (bulbu).

[https://1]

7. LEONARDO DA VINCI

Ukiwa una muongelea Leonardo, unaweza kujiuliza sana maswali juu yake, je alikua mtu gani, msanii, wanasayansi , Mwanamitindo, mchambuzi, ama mchoraji ?. Jibu linabaki kuwa Leonardo alikuwa anauwezo wa kufanya yote hayo. Mchoro wake maarufu ulikua ule wa Mona Lisa, Pia yeye ndio alichora mchoro wa helkopta/ndege kwa mara ya kwanza.

[https://4]

6. WILLIAM SHAKESPEARE

Binadamu alikua amejaliwa vipaji vingi sana,. Shakespeare ni miongoni mwa watu waliokua na mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa sanaa ya uandishi. Aliweza kuandika vitabu ama tamshilia 36, Shakespeare ni miongoni mwa waandishi wakubwa waliowahi kutokea duniani.Uwezo wake wa kufikiria kwa mitazamo tofauti tofauti, ndio umempa nafasi hiyo ya kuwa Shakespeare.

[https://1]

5. ADOLF HITLER

Unaweza kujiuliza kwanini maefanikiwa kuingia kwenye orodha ya watu 10 mashuhuri zaidi duniani. Adolf Hitler ndio mwanaume peke yake ndio anahusika kwa vifo vya mamilioni ya watu duniani. Kwa kuanzisha chama cha Nazism nchini ujerumani, aliwaongopea dunaini nzima, kwamba alikua sahihi na mitazamo yake, ndipo alipoanza uuwaji wa watu wenye asili ya Israeli. Adolf Hitler alikua na asili ya Israel kwani baba yake alikua na asili ya Israeli, baadae baba yake aliwatenga yeye na mama yake. Hii ni kauli yake maarufu zaidi duniani.

“Sikuua waisraeli wote, ili watu waje wajue kwanini nilikua nawauwa !”

[https://2]

4. GALILEO GALILEI

Mwanadamu ambaye alitupa uwezo wa kuona juu ya anga kwa kutumia Darubini/Hadubini, ambayo iliwapa watu uwezo wa kugundua uzuri na siri za anga. Ugunduzi huu wa Galileo, umeweza kusaidia sana mambo mbalimbali kuanzia maendeleo ya jeshini, na hata wana anga, kama NASA, ambao bila ugunduzi wa Galileo pengine kusingekua na NASA

[https://4]

3. STEPHEN HAWKING

Ni mtu alikuja kufanya kazi ama kumalizia kazi za Einstein kwani aliweza kuzifanyia utafiti kauli, na mitazamo pamoja na mawazo na kuifanya kuwa kweli. Einstein alikua anatoa mawazo mengi sana ambayo akili ya kawaida ilikua haiwezi kuyafikiria. Stephen alisahihisha na kuweka usawa kuwa kipingamizi kikubwa ni akili ya mwanadamu mwenyewe, na sio uwezekano, hivyo akili ndio inayoizuia kukubali ukweli na kuendelea kukaa nyuma.

[https://1]

2. ISAAC NEWTON

Mtaalamu wa hisabati na sheria za kisayansi, Isaac ameweka usawa kwenye somo la fizikia, ambayo hutumia kila siku. Mawazo ya Isaac ambayo hueleweka hata kwa watu wa kawaida. Kwenye sheria nyingi za sayansi ama mvutano. Lakini Isaac ndiye ametupa sheria za uvutano na mwendo duniani /Laws of Motion and Gravity.

[https://4]

1. ALBERT EINSTEIN

Inawezekana wote tunamjua Albert Einstein ni mmoja wa watu waliokua na akili sana kuwahi kutokea duniani. Inasemeka kuwa akili ya Albert ilikua inafanya kazi mara 4 zaidi ya akili za watu wa kawaida. Albert Einstein ni miongoni mwa wanasayansi wanaofahamika sana na wenye mchango mkubwa sana kwa karne ya 20. Jina la Einstein limebeba utambulisho wa pekee, hata mtu anayeitwa jina la Einstein huwa ana aminika kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili, tena na ubunifu mkubwa usioisha.

Najua wengi wataulizia kuhusu mtaalam Nikola Tesla ambaye pia anamchango mkubwa katika sayansi ya sasa ya ulimwengu lakini hata Mimi nashangaa kwanini ana kosekana kwenye listi kama hizi nahisi ni labda ya kutokutambulika sana na watu au zitakuwa ni fitna za wamarekani tuu ili kumuinua mtu wao Thomas Edison ambaye alikuwa ana competition kubwa na huyu Nikola Tesla kipindi hicho..hayo ni maoni yangu tuu

Nawasilisha

SOURCE:--Mtandaoni.

Edson ana heshimika zaidi sababu yeye ni mgunduzi wa mwanzo.Tesla ni Inventor.

Tesla alifanya maboresho ya mawazo mengi ya watu.
 
Mbona wote wazungu wa magharibi?
 
mtoe Edison amesababisha mpaka leo tunalipia umeme
weka Nikola Tesla hapo
ALbert Eisten aliulizwa unajisikiaje kuwa mtu mwenye akili nyingi zaidi duniani alijibu sijui muulize Tesla.......
Edison aliwahifanya kazi na bwana Ford?!
 
Yaani edsoni

Ndo bashite wa enzi hizo

Mjanja mjanja sana

Hafu katapeli
Wanasema ukivumbua au ukigundua kitu na kukaa kimya akitokea mtu akakitangaza basi yeye ndio ataingia kwenye rekodi ya historia.
Si kama yule mgunduzi wa ziwa viktoria au mlima kilimanjaro au bara la amerika kwani hapakuwa na watu palee..

Bwana Edison amechea na PA tu kwa uzuri.
 
Mkuu YESU ni MUNGU huwezi kumuweka na kumlinganisha na kundi lolote la binadamu
Bwana Yesu alikuwa mtu halisi na Mungu halisi,ila nimependa jinsi ulivyomwekezea,Bwana Yesu asifiwe milele
 
Historia haikuweki wala kukutambua kuwa na akili sana kwa wingi wa maswali uliyojibu kwenye darsa la hesabu. Albert Einstein alifukuzwa darasani mara nyingi sana sababu mwalimu wake alidhani kuwa ni kichaa.. Newton alionekana ana matatizo ya kujifunza, na walimu wakampeleka kwenye shule maalum. Hata muigizaji maarufu Holliwood Tom Cruise, alionekana hana uwezo wa kujifunza vizuri darasani. Watu wote hawa bado waliweza kufanya mambo makubwa hadi wakaweka alama zao kwenye uso wa dunia.

Ugunduzi wa kisayansi umesaidia dunai kuwa hapa ilipo leo hii, ukianzia kwa kina Newton hadi kina Einstein na wengine kibao.

Hii hapa orodha ya watu 10 ambao historia zao zimeleta mchango mkubwa sana dunaini hadi kesho.

[https://4]

10. ALEXANDER THE GREAT

Alikua kijana mdogo alipewa madaraka ya kuingoza nchi ya Macedonia, na baba yake akiwa na miaka 16, aliweza kuongoza na kutawala nchi nyingi za bara la Asia. Alionekana mwenye akili na utashi wa uongozi kwa kuiwezesha Macedonia kuitawala alipopewa madaraka na baba yake. Alexander alifariki kwa kuumwa malaria.

[https://4]

9. MICHEL ANGELO

Tofauti kati ya kazi ya sanaa ya Michel Angelo na Da Vinci, imeikita kwenye mitindo mbalimbali ya usanii wao wa uchoraji. Japo wote hawa ni wasanii wakubwa na wana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya uchoraji. Michel Angelo aliwahi kuwa mchoraji mkubwa na alikua akichora sana kwenye siling board.

[https://2]

8. THOMAS EDISON

Mgunduzi wa wa bulbu ya umeme, alikua akifanya kazi zake na Nicolas Tesla, japo mwisho wa kazi bulbu zilikua mali yake. Edison ni mtu ambaye inabidi umshukuru sana kila ukiwasha taa (bulbu).

[https://1]

7. LEONARDO DA VINCI

Ukiwa una muongelea Leonardo, unaweza kujiuliza sana maswali juu yake, je alikua mtu gani, msanii, wanasayansi , Mwanamitindo, mchambuzi, ama mchoraji ?. Jibu linabaki kuwa Leonardo alikuwa anauwezo wa kufanya yote hayo. Mchoro wake maarufu ulikua ule wa Mona Lisa, Pia yeye ndio alichora mchoro wa helkopta/ndege kwa mara ya kwanza.

[https://4]

6. WILLIAM SHAKESPEARE

Binadamu alikua amejaliwa vipaji vingi sana,. Shakespeare ni miongoni mwa watu waliokua na mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa sanaa ya uandishi. Aliweza kuandika vitabu ama tamshilia 36, Shakespeare ni miongoni mwa waandishi wakubwa waliowahi kutokea duniani.Uwezo wake wa kufikiria kwa mitazamo tofauti tofauti, ndio umempa nafasi hiyo ya kuwa Shakespeare.

[https://1]

5. ADOLF HITLER

Unaweza kujiuliza kwanini maefanikiwa kuingia kwenye orodha ya watu 10 mashuhuri zaidi duniani. Adolf Hitler ndio mwanaume peke yake ndio anahusika kwa vifo vya mamilioni ya watu duniani. Kwa kuanzisha chama cha Nazism nchini ujerumani, aliwaongopea dunaini nzima, kwamba alikua sahihi na mitazamo yake, ndipo alipoanza uuwaji wa watu wenye asili ya Israeli. Adolf Hitler alikua na asili ya Israel kwani baba yake alikua na asili ya Israeli, baadae baba yake aliwatenga yeye na mama yake. Hii ni kauli yake maarufu zaidi duniani.

“Sikuua waisraeli wote, ili watu waje wajue kwanini nilikua nawauwa !”

[https://2]

4. GALILEO GALILEI

Mwanadamu ambaye alitupa uwezo wa kuona juu ya anga kwa kutumia Darubini/Hadubini, ambayo iliwapa watu uwezo wa kugundua uzuri na siri za anga. Ugunduzi huu wa Galileo, umeweza kusaidia sana mambo mbalimbali kuanzia maendeleo ya jeshini, na hata wana anga, kama NASA, ambao bila ugunduzi wa Galileo pengine kusingekua na NASA

[https://4]

3. STEPHEN HAWKING

Ni mtu alikuja kufanya kazi ama kumalizia kazi za Einstein kwani aliweza kuzifanyia utafiti kauli, na mitazamo pamoja na mawazo na kuifanya kuwa kweli. Einstein alikua anatoa mawazo mengi sana ambayo akili ya kawaida ilikua haiwezi kuyafikiria. Stephen alisahihisha na kuweka usawa kuwa kipingamizi kikubwa ni akili ya mwanadamu mwenyewe, na sio uwezekano, hivyo akili ndio inayoizuia kukubali ukweli na kuendelea kukaa nyuma.

[https://1]

2. ISAAC NEWTON

Mtaalamu wa hisabati na sheria za kisayansi, Isaac ameweka usawa kwenye somo la fizikia, ambayo hutumia kila siku. Mawazo ya Isaac ambayo hueleweka hata kwa watu wa kawaida. Kwenye sheria nyingi za sayansi ama mvutano. Lakini Isaac ndiye ametupa sheria za uvutano na mwendo duniani /Laws of Motion and Gravity.

[https://4]

1. ALBERT EINSTEIN

Inawezekana wote tunamjua Albert Einstein ni mmoja wa watu waliokua na akili sana kuwahi kutokea duniani. Inasemeka kuwa akili ya Albert ilikua inafanya kazi mara 4 zaidi ya akili za watu wa kawaida. Albert Einstein ni miongoni mwa wanasayansi wanaofahamika sana na wenye mchango mkubwa sana kwa karne ya 20. Jina la Einstein limebeba utambulisho wa pekee, hata mtu anayeitwa jina la Einstein huwa ana aminika kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili, tena na ubunifu mkubwa usioisha.

Najua wengi wataulizia kuhusu mtaalam Nikola Tesla ambaye pia anamchango mkubwa katika sayansi ya sasa ya ulimwengu lakini hata Mimi nashangaa kwanini ana kosekana kwenye listi kama hizi nahisi ni labda ya kutokutambulika sana na watu au zitakuwa ni fitna za wamarekani tuu ili kumuinua mtu wao Thomas Edison ambaye alikuwa ana competition kubwa na huyu Nikola Tesla kipindi hicho..hayo ni maoni yangu tuu

Nawasilisha

SOURCE:--Mtandaoni.
1-: YESU

2-: Mohammad

3-: Bob Marley

Wasalimie wote huko
 
Back
Top Bottom