Watu 10 wenye historia na mchango mkubwa duniani

Watu 10 wenye historia na mchango mkubwa duniani

Ingawa alifanya makosa yafuatayo

1. Kudeal na hydrogen pekee , na si multi electrons

2. Alishindwa kuelezea effect ya electron kwenye electric field

3. Lastly ni impossible ku determine both position na velocity at per se
According to mr heinsenberg

Ila jamaa ni mtabe sana

Uko safi mkuu nimekukubali. Hii point ya tatu umetaja hapa ina uhusiano kidogo na wave particle duality, si ndiyo? au nimeshaanza kusahau?
 
Halafu unajua nini? Given time, Bohr angeweza ku-resolve hata haya uliyoyataja hapa, tatizo ilikuwa ni muda kwamba ilikuwa lazima baadaye atangulie mbele ya haki. Assuming angekuwa na uwezo wa kuishi miaka 150 au 200, angeweza kufanya hata haya mengine, mimi naamini hivyo.
Kumbuka kuwa huko nyuma Dalton alikuwa amedai pia kuwa particle ndogo kabisa ya element na ambayo ni indestructible, ni atom, halafu yeye akaja akasema hapana ila ni electron!
 
Hahaha aisee sure

Mambo ya electron yananifurahisha

Sana kitu kina zunguka around the nucleus kwa frequency ya nadhan 2500hz

Kumaanisha kwamba ukikitouch kipo every where

Sir God ni fundi sana
 
Erwin Schrodinger wapi?Na yule mtanzania aliyegundua kuwa ukiweka maji ya moto kwenye fridge yanaganda haraka kuliko ya baridi yuko wapi?
 
Chadema wamesahaulika Wana mchango mkubwa Sana wa Majungu.Wana kiwanda Cha majungu pale makao Mali ya chadema
 
Erwin Schrodinger wapi?Na yule mtanzania aliyegundua kuwa ukiweka maji ya moto kwenye fridge yanaganda haraka kuliko ya baridi yuko wapi?
Mzee mpemba mvumbuzi wa Mpemba Effect kwenye sayansi anatambulika dunia nzima sijui yuko wapi kwa Sasa Mara ya mwisho kumwona alikuwa akiishi maisha tu ya chini pale vingunguti dar es salaam
 
Uko safi mkuu nimekukubali. Hii point ya tatu umetaja hapa ina uhusiano kidogo na wave particle duality, si ndiyo? au nimeshaanza kusahau?
Hapana wave particle duality of matter ipo tofauti yenyewe

Ilitengenezwa na mfaransa nadhan bwana louise de broglie

Mshikaji aliona wana wawili , einstein na plancks wana bishana Kwamba matter je ni particle au wave

Einstein akawa anasema ni particle na planck yeye akawa anasema ni wave ...

Mfano wa assumptions za planck ni kwamba

1. Moja jamaa akasema " all radiations are associated with energy known as radiant energy
2. Akasema kwamba hii energy ya radiation ni directly proportional to frequency

3. Jamaa akasema " energy emited by radiation is not given out in a continuous manner but given out in small packet called quanta kama sijakosea ....

Na akamalizia kwa kusema "energy of radiation is multiple of quanta

Sasa de broglie akaona isiwe taabu akacombine idea za hawa wote wawili na kuamua kutengenezs thiory ya wave particke duality of matter

Kuondoa ugomvi wa hawa jamaa zangu mshikaji akaona aziunge

Ni hayo tu mkuu

Hafu " wave particle duality ina be defined as existence of wave property and particle property, but only one propert can be seen at a time na sio property zote
 
Uko safi mkuu nimekukubali. Hii point ya tatu umetaja hapa ina uhusiano kidogo na wave particle duality, si ndiyo? au nimeshaanza kusahau?
Kitu kingine cha muhimu unachopaswa kujua mkuu ni kwamba

" since matter and energy zinaweza ku inter change each other , hii inamaanisha kwamba it is possible to transport each and everythin in the universe as electromagnetic wave, ila sasa kuconvert matter into energy it needs to be accerelated to attain the speed of light . This is the main difficultness of this new technology , kama sisi wanasayansi tutaweza ku achieve hii technology

Basi the world is going to be very sophticated !

Ani very sophticated mkuu wangu !

#mimi ni miongoni mwa scientist wachache wanaoamini katika existence ya sir God

Cc😡mwifwa
 
Tumieni basi haya maknowledge practically kudiscover mavituz kama hao akina Tesla kwani tuna kwama wapi
 
Historia haikuweki wala kukutambua kuwa na akili sana kwa wingi wa maswali uliyojibu kwenye darsa la hesabu. Albert Einstein alifukuzwa darasani mara nyingi sana sababu mwalimu wake alidhani kuwa ni kichaa.. Newton alionekana ana matatizo ya kujifunza, na walimu wakampeleka kwenye shule maalum. Hata muigizaji maarufu Holliwood Tom Cruise, alionekana hana uwezo wa kujifunza vizuri darasani. Watu wote hawa bado waliweza kufanya mambo makubwa hadi wakaweka alama zao kwenye uso wa dunia.

Ugunduzi wa kisayansi umesaidia dunai kuwa hapa ilipo leo hii, ukianzia kwa kina Newton hadi kina Einstein na wengine kibao.

Hii hapa orodha ya watu 10 ambao historia zao zimeleta mchango mkubwa sana dunaini hadi kesho.

[https://4]

10. ALEXANDER THE GREAT

Alikua kijana mdogo alipewa madaraka ya kuingoza nchi ya Macedonia, na baba yake akiwa na miaka 16, aliweza kuongoza na kutawala nchi nyingi za bara la Asia. Alionekana mwenye akili na utashi wa uongozi kwa kuiwezesha Macedonia kuitawala alipopewa madaraka na baba yake. Alexander alifariki kwa kuumwa malaria.

[https://4]

9. MICHEL ANGELO

Tofauti kati ya kazi ya sanaa ya Michel Angelo na Da Vinci, imeikita kwenye mitindo mbalimbali ya usanii wao wa uchoraji. Japo wote hawa ni wasanii wakubwa na wana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya uchoraji. Michel Angelo aliwahi kuwa mchoraji mkubwa na alikua akichora sana kwenye siling board.

[https://2]

8. THOMAS EDISON

Mgunduzi wa wa bulbu ya umeme, alikua akifanya kazi zake na Nicolas Tesla, japo mwisho wa kazi bulbu zilikua mali yake. Edison ni mtu ambaye inabidi umshukuru sana kila ukiwasha taa (bulbu).

[https://1]

7. LEONARDO DA VINCI

Ukiwa una muongelea Leonardo, unaweza kujiuliza sana maswali juu yake, je alikua mtu gani, msanii, wanasayansi , Mwanamitindo, mchambuzi, ama mchoraji ?. Jibu linabaki kuwa Leonardo alikuwa anauwezo wa kufanya yote hayo. Mchoro wake maarufu ulikua ule wa Mona Lisa, Pia yeye ndio alichora mchoro wa helkopta/ndege kwa mara ya kwanza.

[https://4]

6. WILLIAM SHAKESPEARE

Binadamu alikua amejaliwa vipaji vingi sana,. Shakespeare ni miongoni mwa watu waliokua na mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa sanaa ya uandishi. Aliweza kuandika vitabu ama tamshilia 36, Shakespeare ni miongoni mwa waandishi wakubwa waliowahi kutokea duniani.Uwezo wake wa kufikiria kwa mitazamo tofauti tofauti, ndio umempa nafasi hiyo ya kuwa Shakespeare.

[https://1]

5. ADOLF HITLER

Unaweza kujiuliza kwanini maefanikiwa kuingia kwenye orodha ya watu 10 mashuhuri zaidi duniani. Adolf Hitler ndio mwanaume peke yake ndio anahusika kwa vifo vya mamilioni ya watu duniani. Kwa kuanzisha chama cha Nazism nchini ujerumani, aliwaongopea dunaini nzima, kwamba alikua sahihi na mitazamo yake, ndipo alipoanza uuwaji wa watu wenye asili ya Israeli. Adolf Hitler alikua na asili ya Israel kwani baba yake alikua na asili ya Israeli, baadae baba yake aliwatenga yeye na mama yake. Hii ni kauli yake maarufu zaidi duniani.

“Sikuua waisraeli wote, ili watu waje wajue kwanini nilikua nawauwa !”

[https://2]

4. GALILEO GALILEI

Mwanadamu ambaye alitupa uwezo wa kuona juu ya anga kwa kutumia Darubini/Hadubini, ambayo iliwapa watu uwezo wa kugundua uzuri na siri za anga. Ugunduzi huu wa Galileo, umeweza kusaidia sana mambo mbalimbali kuanzia maendeleo ya jeshini, na hata wana anga, kama NASA, ambao bila ugunduzi wa Galileo pengine kusingekua na NASA

[https://4]

3. STEPHEN HAWKING

Ni mtu alikuja kufanya kazi ama kumalizia kazi za Einstein kwani aliweza kuzifanyia utafiti kauli, na mitazamo pamoja na mawazo na kuifanya kuwa kweli. Einstein alikua anatoa mawazo mengi sana ambayo akili ya kawaida ilikua haiwezi kuyafikiria. Stephen alisahihisha na kuweka usawa kuwa kipingamizi kikubwa ni akili ya mwanadamu mwenyewe, na sio uwezekano, hivyo akili ndio inayoizuia kukubali ukweli na kuendelea kukaa nyuma.

[https://1]

2. ISAAC NEWTON

Mtaalamu wa hisabati na sheria za kisayansi, Isaac ameweka usawa kwenye somo la fizikia, ambayo hutumia kila siku. Mawazo ya Isaac ambayo hueleweka hata kwa watu wa kawaida. Kwenye sheria nyingi za sayansi ama mvutano. Lakini Isaac ndiye ametupa sheria za uvutano na mwendo duniani /Laws of Motion and Gravity.

[https://4]

1. ALBERT EINSTEIN

Inawezekana wote tunamjua Albert Einstein ni mmoja wa watu waliokua na akili sana kuwahi kutokea duniani. Inasemeka kuwa akili ya Albert ilikua inafanya kazi mara 4 zaidi ya akili za watu wa kawaida. Albert Einstein ni miongoni mwa wanasayansi wanaofahamika sana na wenye mchango mkubwa sana kwa karne ya 20. Jina la Einstein limebeba utambulisho wa pekee, hata mtu anayeitwa jina la Einstein huwa ana aminika kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili, tena na ubunifu mkubwa usioisha.

Najua wengi wataulizia kuhusu mtaalam Nikola Tesla ambaye pia anamchango mkubwa katika sayansi ya sasa ya ulimwengu lakini hata Mimi nashangaa kwanini ana kosekana kwenye listi kama hizi nahisi ni labda ya kutokutambulika sana na watu au zitakuwa ni fitna za wamarekani tuu ili kumuinua mtu wao Thomas Edison ambaye alikuwa ana competition kubwa na huyu Nikola Tesla kipindi hicho..hayo ni maoni yangu tuu

Nawasilisha

SOURCE:--Mtandaoni.

Sema hivi; "watu 10 ninaowajua wenye mchango mkubwa katika dunia", kwasababu wapo watu wengi sana waliotoa michango mikubwa sana katika dunia, michango positive.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini mkuu, au yeye ni mjasiriamali mganga njaa sio mgunduzi?

Kabisa mzee [emoji13][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom