Watsapp

Watsapp

Usajili wako wa watsapp uliotokanao kwenye nchi husika unatumika uleule hata uende wapi ukishapa mawasiliano ya utumiaji wa lain ya kule labda ubadilishe namba ndio itakubdid upate usajili wa namba mpya.
 
Kwasababu wakifika huko ughaibuni watashindwa kuwasha data kwakuwa hakuna minara ya TZ tigo, voda, airtel, halotel, wala ttcl...Labda watumie Wi-fi
Dahhhhh......
Wang'wise leo umeniangusha sana wallah
 
Jaman kuna ubishi kuhusu watsapp.
Je ni kweli mtu anayeishi nje ya nchi lakin katokea TZ anaweza wasiliana na mTZ kwa kutumia namba ileile ya Tz?
Mfano mtu kaenda china namba yake ni +255 754667788 alaf akifka huko akupigie watsapp au akutext watsapp namba ije iyo iyo naomb mnijib chap.
Jibu ni kwamba.....
WhatsApp application unapo ipakua kwa kawaida unaisave kwenye sim, hivyo basi Whatsapp ni application inayo subiria kuunganishwa ama kuwezeshwa na Data/WiFi ili iweze kufanya kazi.
Kimsingi hakuna connection iliopo kati ya Whatsapp application na sim card, bali kuna connection kati ya sim card na handset, pia handset na Whatsapp application, na hapo ndipo combination inapo tokea kati ya Data/WiFi, Handset na Whatsapp Application
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Usajili wako wa watsapp uliotokanao kwenye nchi husika unatumika uleule hata uende wapi ukishapa mawasiliano ya utumiaji wa lain ya kule labda ubadilishe namba ndio itakubdid upate usajili wa namba mpya.

Asante
 
Ukisharegister what u may need in internet tu iwe Wifi or the like. Huhitaji kubadili number yako tena.
 
Usajili wako wa watsapp uliotokanao kwenye nchi husika unatumika uleule hata uende wapi ukishapa mawasiliano ya utumiaji wa lain ya kule labda ubadilishe namba ndio itakubdid upate usajili wa namba mpya.

Shukran
 
Jibu ni ndio, mfano rahisi tuu una weza ikawa kwenye simu yako unatumia voda lakini kwenye watsAp ukatumia tigo ama number nyingine yoyote utakayo penda and vise versa.
Upo sawa mkuu maana mi line ni tigo ila whatsap ni voda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom